Tutashinda Leo Old Trafford
Style yetu letu itakua imechangamka kidogo...yaani tutaupiga mpira mwingi kwa lengo la ku possess and holding balls
Key players of our match watakua ni midfielders wakati wa mashambulizi machache ya kustukiza na wakati wa ku attack Jordi Alba,Dembele/Coutinho ,Messi(central field role) and Suarez will be instrumental
Balance ya team katikati wakati wa kushambulia italetwa na Messi ,Rakitic na Arthur Mello na Busquets(penetration balls)
Kushoto Alba,Coutinho/Dembele..
Kulia S.Roberto itabidi aanze leo kwa ajili ya ku offer attacks wakishirikiana na Messi (left flank roles)
Striker (Suarez ) shall be forced to play wide kwa ku swing left na right flanks of the field lakini inabidi anticipate superimposition ,his movements is key for confusing and distracting opponent huku ikiwapa spaces wachezaji wengine kua unoccupied na kucheza mpira
In short Man U Leo katikati wanaenda kuwa overwhelmed (strength yao iko hapo) so we will be choking then by our philosophy " bad players wa adui ndio tunataka wacheze Mara nyingi mpira na tunauchukua pindi tunapotaka"
Pique ,Lenglet /Umtiti watakua wanakabia kwenye lower margin kabisa ya defence ,kama katikatika wakicheza vizuri watakua na time na space kubwa za kupiga long range passes na kushambulia set pieces
Match prediction Barcelona 2 hadi 3 ,na Man U -0