FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ole Ole Barcadogs watch out Ole is coming for your heads

IMG-20190315-WA0025.jpg

- KANA -
 
Huko waliko matumbo yanawaka moto kwa hofu
Barcelona ingekuwa bora si ingevunja rekodi ya Ac milam makonbe 7 au madrid miaka yate inatolewa na timu level za manchester united tu labda mjifariji hivyo hivyo tumeona roma mwaka jana kampa chuma 4
 
Tunaona UEFA letu jamani tupatieni

Kuna mashabiki aina 3 wanatusumbua sana humu jf,yani kelele nyingi utafikiri wamefika FINAL bwana,
1-Man u
2-Liverpua
3-Juventus, vile vigoli vitatu vya mviziaji vinawapa matumaini ya kubeba UEFA eti 🤣🤣🤣🤣🤣
🤣
 
Kuna mashabiki aina 3 wanatusumbua sana humu jf,yani kelele nyingi utafikiri wamefika FINAL bwana,
1-Man u
2-Liverpua
3-Juventus, vile vigoli vitatu vya mviziaji vinawapa matumaini ya kubeba UEFA eti
Juventus hawa ndio vibonde kabisa Man city atajipigia kirahisi
 
Uzuri wa mpila unachezwa uwanjani dakika tisini na siyo mdomoni au kwenye keyboards.
Kama ingekuwa matokea yanapangwa kwa matakwa ya mashabiki wa timu Fulani basi hakuna timu ingefungwa duniani.maana mashabiki siku zote wanataka timu yao ishinde ..so hata nyinyi mashabiki wa humu ni hali yenu kusema Barca atapita maana hamuwezi kusema kinyume.
Ila hiyo mechi si rahisi kama m unavyodhani.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa kinachonisumbua tu kichwa ni namna gani klopp kama ataweza kumtoa porto atakavoweza kukipanga kikosi chake dhid ya chama kubwa Utd kwenye sem-final. Nawapa home work barca waende ufaransa waulize alipopita utd alifanya nini??? Then wayafanyie kazi watakachoambiwa huko!! Watanishukuru badae ingawaje bado haitozuia chochote kwa wao kutokufungiwa virago pale pale camp nou

Kupata vichekesho vingine kama hiki, andika neno LUKAKU kwenda namba 277337.

- KANA -
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom