Khalidoun
JF-Expert Member
- Feb 12, 2013
- 2,842
- 4,474
Yule beki pale lazima kajipiga screenshot-yaani kajamba na kupiga chafya in one motion

Barça pagumu unatakiwa upambane haswaaKijana kajitahidi.. Ameshangilia kwa passion sana..![]()
![]()
![]()
View attachment 1045156
Sent using Unknown device
Kijana kajitahidi.. Ameshangilia kwa passion sana..![]()
![]()
![]()
View attachment 1045156
Sent using Unknown device
Nadhani alikua anamaanisha coutihno, kijana alikua anahitaji goal kwakweli ita boost confidence yake
Hahaa knakosea sana kusema "kijana kajitahidi" siku zote Messi ndiye injini/nguzo ya Barca hili halina ubishi kamanda wangu...ingawa na wengine wanascore lakini kwa msaada zaidi wa hiki kiumbe kuwahi kutokea katika soka....Kahusika na magoli yote ma4... 2 goals 2 assists, and man of the match kama kawaida yake....

Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hao waliobaki namhofia liverpool pekee. Wako very efficient kwenye aerial balls ambako ndiko weakness kubwa ya Barca ilipo.
nilicho maanisha ni kijana bwa mdogo alie shikwa na king hapo.. Kajitahidi
Hahaa knakosea sana kusema "kijana kajitahidi" siku zote Messi ndiye injini/nguzo ya Barca hili halina ubishi kamanda wangu...ingawa na wengine wanascore lakini kwa msaada zaidi wa hiki kiumbe kuwahi kutokea katika soka....Kahusika na magoli yote ma4... 2 goals 2 assists, and man of the match kama kawaida yake....
Nadhani alikua anamaanisha coutihno, kijana alikua anahitaji goal kwakweli ita boost confidence yake
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hao waliobaki namhofia liverpool pekee. Wako very efficient kwenye aerial balls ambako ndiko weakness kubwa ya Barca ilipo.
Hao wengine sioni shida kabisa!
- KANA -