mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Kwa mtu ambaye anachunguza mpira kiundani kabisa Messi hua anafunga magoli machache sana ,ila anapasia kwenye nyavu magoli mengi sana (kama umenielewa basi unaelewa namaanisha nini)
Simply magoli ya Messi akili ni nyingi sana nguvu inatumika kwa mbali.....refer goli la pili ambalo jackline 1 anakuambia mabeki walijamba na kupiga chafya in one direction(something impossible
) alimalizia kufunga kwa shoot dhaifu.....ambalo golikipa hawezi kunyaka na mpira anauona huu hapa unampita