FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Dembouz kwa spid anatisha plus semedo ila bado viungo wakabaji, De jong anaanza kucheza lini?
Kabla busquet hajastaafu sahau kuwa Kuna kiungo mkabaji atamuweka benchi ata aje yesu atapigwa benchi tu na hyo machine
 
Le Mundo gazette limeandika-El classico ya saturday S Roberts asikae mbele ya Semedo cause anamuacha exposed-Dembele anaanza kuziba pengo la Neymar na kwa speed aliyonayo aruhusiwe free role btw the wings- Gazette linaamini Real M will never get another chance.cause probability of Messi having another low key game is nil

King Leo baadhi ya game anakuwa kama kapumzika hivi uwanjani
 
Haha unasubiri messi aondoke? Utasubiri sana mkuu.... Hadi huo muda kufika tutakua kwanza tumeshasimama na madogo kibao watakuepo ku step up
Sawa mkuu hata madrid waliambiwa ni 1 man team wakabisha.... Leo hii unaona timu inavyosuasua kupata magoli!!! Na ww ngoja messi aondoke mtaelewa nachosema. Time will tell na hii post ntaifufua tu hata iwe 2025 inshallah tujaliwe uhai.
 
Mkuu sio emotional ni rational kabisa tena kwa takwimu winning percentage ya mechi ambazo messi amecheza ni kubwa kuliko ambazo hajacheza (70%)

NB: utoe mechi za copa del rey

Sasa unabishana na takwimu mkuu?? Hata magoli wanafunga average ya magoli mpaka 3 messi akiwemo ila asipokuwepo ni chini ya hapo...... Sasa kwa takwimu tu ukimtoa messi kwenye equation ya barca basi leo hii mngekuwa mko nafasi ya 4 la liga!! Sio mimi ni takwimu

Pitia hapa kidogo usome analysis ya credible sportswriter
How do Barcelona do when made to live without Lionel Messi?


Siku King anastaafu soka, huenda na mimi nikastaafu kushabikia soka....huyu mtu ndie amenifanya niupende mpira, ingawa mimi ni mtu mzima na nimewafuatilia wachezaji/mastaa mbali mbali duniani lakini huyu ndie chaguo langu na amenifanya niupende zaidi mpira....na itachukuwa karne na karne kumpata binadamu mithili huyu....

Screenshot_20190226-111736_Instagram.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom