FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwangu mimi Dembele iz better than neimar...neimar utoto mwingi na kujiangusha, dembele anachokosea kitu kimoja tu pale mbele, chenga nyingi hatoi pasi hadi ananyang'anywa mpira...
Mkuu, Neymar namba nyingine, misimu yake ya mwisho pale Camp Nou mpira ulimkubali mno.

Mfano sasa hivi tukawa na watu watatu mbele, Dembele kulia, Messi kati na Neymar kushoto, hii ni hatari kwa timu pinzani.

Suarez tuanze kutafuta mbadala wake.
 
Suarez kiwango chake kimeshuka sana, ningefurahi kuona kati ya hawa.. Lcardi, Mbappe, Cavanni or Lewandowsky....
 
We gonna color bernabeu....

Kocha kafanya kweli huyu Roberto leo arudi pale rb maana yule dogo wa kiberazil alipiga mashuti mengi sana walisumbua ile flank.. Leo kwisha habari zao.

Dembele anapendeza sana kuwa free, leo akipewa tena hii role ya kutembea hadi flank ya kulia tutawaua vibaya sana
IMG_20190302_214215.jpeg

Sent using Unknown device
 
Dogo anatamani sana kurudi sema na sisi tumegawanyika, kuna wanao mtaka arudi na wengine hawataki arudi..

Na umesikia masharti ma5 aliyowapa RM kama wakimtaka?
Mkuu, Neymar namba nyingine, misimu yake ya mwisho pale Camp Nou mpira ulimkubali mno.

Mfano sasa hivi tukawa na watu watatu mbele, Dembele kulia, Messi kati na Neymar kushoto, hii ni hatari kwa timu pinzani.

Suarez tuanze kutafuta mbadala wake.

Sent using Unknown device
 
Regullon na V junior flank yao ndio inanitatiza-unless Dembele yuko upande huo-Regullon asiruhusiwe ku overlap otherwise S Roberto will be overrun(bearing in mind hana mbio)
Hopefully possession ratio yetu will be as usual
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom