Avatar
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 11,128
- 11,937
Tupia ka GIF kanakoonyesha akiongea hayo maneno!!haaa haaaa haaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tupia ka GIF kanakoonyesha akiongea hayo maneno!!haaa haaaa haaaa
Sent using Jamii Forums mobile app
Burma TV inapatikana king'amuzi gani mkuu..!Hawa watangazaji kupitia Burma TV Lugha yao burudani tupu. Sijui waarabu? Maana wanatia pressure mpaka Unaweza ukaacha kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Burma TV inapatika
Burma TV inapatikana king'amuzi gani mkuu..!
Hawa watangazaji kupitia Burma TV Lugha yao burudani tupu. Sijui waarabu? Maana wanatia pressure mpaka Unaweza ukaacha kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Le Mundo gazette limeandika-El classico ya saturday S Roberts asikae mbele ya Semedo cause anamuacha exposed-Dembele anaanza kuziba pengo la Neymar na kwa speed aliyonayo aruhusiwe free role btw the wings- Gazette linaamini Real M will never get another chance.cause probability of Messi having another low key game is nil
Hata Neymar alikuwa anapoteza mipira sana-but havoc aliyokuwa anasababisha now and then we turned a blind eyeKwangu mimi Dembele iz better than neimar, dembele anachokosea kitu kimoja tu pale mbele, chenga nyingi hatoi pasi hadi ananyang'anywa mpira.
Sawa mkuu hata madrid waliambiwa ni 1 man team wakabisha.... Leo hii unaona timu inavyosuasua kupata magoli!!! Na ww ngoja messi aondoke mtaelewa nachosema. Time will tell na hii post ntaifufua tu hata iwe 2025 inshallah tujaliwe uhai.ONE MAN TEAM? next time just read on,- leave soccer talk to people who know the game
We live for the present-hiyo 2025 you wait for itSawa mkuu hata madrid waliambiwa ni 1 man team wakabisha.... Leo hii unaona timu inavyosuasua kupata magoli!!! Na ww ngoja messi aondoke mtaelewa nachosema. Time will tell na hii post ntaifufua tu hata iwe 2025 inshallah tujaliwe uhai.
Hata Neymar alikuwa anapoteza mipira sana-but havoc aliyokuwa anasababisha now and then we turned a blind eye
pouwa mkuu