The individual capacity of eleven players is what makes a team!Barca was sh**t bila nguvu binafsi Barca ingekuwa imelala 2-0. Tukubali individual capacity ina nafasi yake kwenye timu ndio maana kuna wachezaji huwa ni super sub kama kina Vitolo,Cutrone,pulisic n.k maana timu zinahitaji nguvi binafsi za hao watu ili ipate ushindi.
Nikisema sub ndo zilipelekea Barça kubadilika utakataa?Barca was sh**t bila nguvu binafsi Barca ingekuwa imelala 2-0. Tukubali individual capacity ina nafasi yake kwenye timu ndio maana kuna wachezaji huwa ni super sub kama kina Vitolo,Cutrone,pulisic n.k maana timu zinahitaji nguvi binafsi za hao watu ili ipate ushindi.




Let's agree here bruh.... Individual capacity as far as barca is concerned no one matches Messi.... It's almost a one man team. Imagine if messi wasnt around who would step up??The individual capacity of eleven players is what makes a team!
However, the quality and level of the so called "individual capacity" vary from one player to another.
Kuna siku Dembele anatuokoa, kuna siku Suarez anatuokoa and so on. Hakuna hoja ya kumtenganisha Messi na Barcelona. He's part of the team, he's just more gifted than other players!
- KANA -
Hakuna sub iliyosaidia huoni dembele alipoimgia mlikuwa forwards 4 mbele ila nni kilibadilika hadi mkamtoa coutinho!! Suarze aliflop... Dembele alikosa magoli ya wazi.... Mtu pekee aliyekuwa vzuri ni Messi so hamna kuepuka kuwa barca inamtegemea messi ndio maana alipokuwa out of form mlishindwa kushinda mechi 4 mfululizo.Nikisema sub ndo zilipelekea Barça kubadilika utakataa?
Nikisema Alena, Dembele na Roberto ndo walileta mabadiliko utakataa?
Mpira team work
Messi kwa nafasi yake alitimiza wajibu, haina maana kusema asinge kuwepo hii statement ya kusahau mchango wa wengne as a team
Unapaswa kujiuliza why HT Barça iliharibu?
Vidal, Semedo na Coutinho walipwaya pia Umtiti hakuwa kwenye form (ametoka majeruhi alijutahidi)
Mabadiliko ya Barça ni Sub zilizofanywa
Messi kabla ya sub mipira yake mingi ilikuwa inapotea HT Accuracy pass alikuwa na 56%
Tukumbuke goal la kwanza kufungwa Barça kosa lilianzia kwa Messi
Kwa hiyo ni lazma tukubali Sub ndizo zilipekea Barça kubadilika na kushinda
Sent using Jamii Forums mobile app
In other words una maana with Messi we will win all trophies? What more can one wantHakuna sub iliyosaidia huoni dembele alipoimgia mlikuwa forwards 4 mbele ila nni kilibadilika hadi mkamtoa coutinho!! Suarze aliflop... Dembele alikosa magoli ya wazi.... Mtu pekee aliyekuwa vzuri ni Messi so hamna kuepuka kuwa barca inamtegemea messi ndio maana alipokuwa out of form mlishindwa kushinda mechi 4 mfululizo.
No messi no barca.... Hata msimu uliopita mechi ya sevilla jamaa aliingia ndio aka-equalise mawili otherwise mlikuwa mmelala tena.... Alafu mnasema teamwork!! Wela data hapa mechi ambazo messi hajacheza Alafu angalia win percentage!!
Barca is sh**t without messi
Every team has a player who steps up when things are not going well.Let's agree here bruh.... Individual capacity as far as barca is concerned no one matches Messi.... It's almost a one man team. Imagine if messi wasnt around who would step up??
Barca= Messi na Messi=Barca, the rest of the team is utter nonsense eti coutinho,dembele cjui alena.... My foot.
Hakuna anayemkaribia messi ngoja akistaafu mtabaki mnahaha kma Madrid maana sio kwa kumtegemea huko
Mkuu kama umefanya hesabu utakuwa unaikumbuka D'hondt method of allocation...... kitu kinachochangia zaidi ndio kinakuwa allocated slots nyingi zaidi. Same to Barca kwamba licha ya contribution ya timu nzima ni messi ndio amayecontribute zaidi hivyo licha ya udhaifu wa barca kuconcede magoli mawili kizembe ila Messi ndio alikuja kuwaokoa.Every team has a player who steps up when things are not going well.
Kama Hazard kwa Chelsea, Salah kwa Liverpool, Kane kwa Spurs, De gea kwa Man U and so on. Sioni tatizo Messi kuibeba Barcelona tunapohitaji matokeo.
Ukisema Barca is almost a one man team nakushangaa. Ulishawahi kujiuliza Barcelona bila Busquests wanakua vipi? As a matter of fact, magoli ya messi yasingetufikisha popote msimu huu bila miujiza ya McAndre Stergen pale golini.
Suarez hayuko form, ila angalia chart ya top scorers he's second on the list baada ya Messi. Dembele has been damn good so far, and he's growing. Kusema apart from Messi wengine ni upuuzi mtupu unakua unasound more emotional rather than logical.
Messi is undoubtfully the best football player, he's genius, he's exceptional, lakini haifanyi tusahau mchango wa wachezaji wengine kwenye team!
- KANA -
Mimi ni Barça na Messi damu damu but ukweli uko wazi kuwa Barça ili ilibadilika kwa sababu ya subHakuna sub iliyosaidia huoni dembele alipoimgia mlikuwa forwards 4 mbele ila nni kilibadilika hadi mkamtoa coutinho!! Suarze aliflop... Dembele alikosa magoli ya wazi.... Mtu pekee aliyekuwa vzuri ni Messi so hamna kuepuka kuwa barca inamtegemea messi ndio maana alipokuwa out of form mlishindwa kushinda mechi 4 mfululizo.
No messi no barca.... Hata msimu uliopita mechi ya sevilla jamaa aliingia ndio aka-equalise mawili otherwise mlikuwa mmelala tena.... Alafu mnasema teamwork!! Wela data hapa mechi ambazo messi hajacheza Alafu angalia win percentage!!
Barca is sh**t without messi



Messi hachezi pekee ake uwanjani naona unaongea kibongoHakuna sub iliyosaidia huoni dembele alipoimgia mlikuwa forwards 4 mbele ila nni kilibadilika hadi mkamtoa coutinho!! Suarze aliflop... Dembele alikosa magoli ya wazi.... Mtu pekee aliyekuwa vzuri ni Messi so hamna kuepuka kuwa barca inamtegemea messi ndio maana alipokuwa out of form mlishindwa kushinda mechi 4 mfululizo.
No messi no barca.... Hata msimu uliopita mechi ya sevilla jamaa aliingia ndio aka-equalise mawili otherwise mlikuwa mmelala tena.... Alafu mnasema teamwork!! Wela data hapa mechi ambazo messi hajacheza Alafu angalia win percentage!!
Barca is sh**t without messi




no Barça no Messi hii ndo imekaa sawa Hapa umeongea kisoka na umechambua with out of ushabiki, kwamba tunaposema matokeo ya team tunamaana ni collective work ya Team nzima....Every team has a player who steps up when things are not going well.
Kama Hazard kwa Chelsea, Salah kwa Liverpool, Kane kwa Spurs, De gea kwa Man U and so on. Sioni tatizo Messi kuibeba Barcelona tunapohitaji matokeo.
Ukisema Barca is almost a one man team nakushangaa. Ulishawahi kujiuliza Barcelona bila Busquests wanakua vipi? As a matter of fact, magoli ya messi yasingetufikisha popote msimu huu bila miujiza ya McAndre Stergen pale golini.
Suarez hayuko form, ila angalia chart ya top scorers he's second on the list baada ya Messi. Dembele has been damn good so far, and he's growing. Kusema apart from Messi wengine ni upuuzi mtupu unakua unasound more emotional rather than logical.
Messi is undoubtfully the best football player, he's genius, he's exceptional, lakini haifanyi tusahau mchango wa wachezaji wengine kwenye team!
- KANA -

tutakuwa tunajidanganya na haitakuwa Barça Mkuu, naamini unatania. Ila kama uko serious kwamba mchango wa team nzima haufikii robo ya mchango wa Messi, basi I rest my case!Mkuu kama umefanya hesabu utakuwa unaikumbuka D'hondt method of allocation...... kitu kinachochangia zaidi ndio kinakuwa allocated slots nyingi zaidi. Same to Barca kwamba licha ya contribution ya timu nzima ni messi ndio amayecontribute zaidi hivyo licha ya udhaifu wa barca kuconcede magoli mawili kizembe ila Messi ndio alikuja kuwaokoa.
Hivyo sikatai wachezaji wengine wana mchango ila mchango wao kwa pamoja haufikii hata robo wa mchango wa messi..... Hivyo tunaweza kufikia hitimisho kuwa barca ni one man team sababu mtu mmoja ana mchango mkubwa kuliko timu nzima kwa mbali sana.






Mkuu sio emotional ni rational kabisa tena kwa takwimu winning percentage ya mechi ambazo messi amecheza ni kubwa kuliko ambazo hajacheza (70%)Mkuu, naamini unatania. Ila kama uko serious kwamba mchango wa team nzima haufikii robo ya mchango wa Messi, basi I rest my case!
I don't prefer emotional conversations over logical ones!
- KANA -
Mkuu mnakosea sana hata ukiandika tafiti za kitaaluma huwa level of significance na coefficients zinatofautiana kati ya variables ikimaanisha moja lazima ina mchango mkubwa kuliko yenzake haziwezi lingana zote...... Na hiyo moja ikitolewa kwenye equation utafiti utakuwa na sura tofauti kabisaaaaaHapa umeongea kisoka na umechambua with out of ushabiki, kwamba tunaposema matokeo ya team tunamaana ni collective work ya Team nzima....
Mchango wa goalkeeper ni mkubwa sana kwa Barça hasa msimu huu anafanya kazi ya ziada...
Ubora wa Barça huwezi msahau Busquet, Rakitic, lenglet, Arthur, Pique, nk yaani tuwaone hawana mchangotutakuwa tunajidanganya na haitakuwa Barça
Game yenyewe ya juzi kipa kafanya kazi kubwa sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu mnakosea sana hata ukiandika tafiti za kitaaluma huwa level of significance na coefficients zinatofautiana kati ya variables ikimaanisha moja lazima ina mchango mkubwa kuliko yenzake haziwezi lingana zote...... Na hiyo moja ikitolewa kwenye equation utafiti utakuwa na sura tofauti kabisaaaaa
Same to barca hao uliowataja mchango wao unaweza kuwa 40% kwa kila mechi ila messi alone anacontribute zaidi ya 60%.... Let alone uwepo wake tu unasaidia issue za nje ya uwanja kma morale boosting na kuwachezea psychologically timu pinzani kucheza kwa caution sana kisa "messi yupo" so mchango unaweza enda hadi 70%.
Hivyo bottom line ni kweli wanamchango ila hawafikii mchango anaoutoa messi....
Nakuacha na swali.....
If X=Barca and Barca= X.... Find X 😀😛
Hali iliyopo kwa sasa....
Hii kasi hii... Jamaa anazidi kuwa na makali kadri umri unaenda...
Natabiri atacheza hadi akiwa na miaka 40 huyu mtuView attachment 1032804View attachment 1032806View attachment 1032807View attachment 1032808
Waambie hao walioibuka hivi karibuni kushabikia Barca na kumuona hana mchango wowote timu inapozidiwa....inashangaza sana!