de jong anamalizia lig huko ajaxPole sana kamanda wangu, ndio naingia tu humu...game ishaisha Madri 0-3 Barca, aggregate 1-4
Wamenikumbusha Nkamia akitangaza goli na hatari za Simba. Unaweza kuzima redioHawa watangazaji kupitia Burma TV Lugha yao burudani tupu. Sijui waarabu? Maana wanatia pressure mpaka Unaweza ukaacha kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo Burma tv mbona mimi imenikatalia LeoHawa watangazaji kupitia Burma TV Lugha yao burudani tupu. Sijui waarabu? Maana wanatia pressure mpaka Unaweza ukaacha kuangalia
Sent using Jamii Forums mobile app
Lyon atakalishwa goli 4 pale Camp Nou Mark my work tena 4-0Natumaini Lyon atafungwa hata 5 pale camp nou
Tupia ka GIF kanakoonyesha akiongea hayo maneno!!haaa haaaa haaaaAfter Suarez's Panenka penalty had taken Barcelona's tally up to three, the Madrid captain sent a defiant message out to his teammates.
"Let's not let them score six," was the call from the defender that told his teammates to carry on until the final whistle.
Los Blancos heeded that advise and prevented any further damage that could've been done to the scoreline.
First half Nimeangalia yote. Second half ikaanza mikwaruzo. First half ilikuwa full pressureHiyo Burma tv mbona mimi imenikatalia Leo
Ndio man of the match ya jana ,ametuokoa sana especially first half kama kawaida yake bingwa wa save
Mkuu jana naona ilikua siku bora kabisaForca Barca
Wakatalunya wenzangu
Ndio man of the match ya jana ,ametuokoa sana especially first half kama kawaida yake bingwa wa save
😀😀😀😀Tupia ka GIF kanakoonyesha akiongea hayo maneno!!haaa haaaa haaaa
Sent using Jamii Forums mobile app