FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Ha ha Messi.....tangu mzee ajuza Pele aseme Messi hawezi kufunga kwa mguu wa kulia hebu niambieni amewatia magoli mangapi
 
Barcelona naombea second leg watoke 1-1 pale Camp Nou.
Nitafurahi sana. Siku hiyo baba Debo hata akitaka usiku kucha, nampatia!!
Najaribu kuwaza wewe utakuwa mshabiki wa timu gani pale England, maana naona unahofia timu yako kukutana na barca
 
Bro hata mimi nimechoka kila siku yeye.. Na mimi naanza kumchukia sasa sio kwa hizi sifa za blaza messi... Nimeelewa kwa nini watu umchukia messiah wa football
Ha ha ha raha sana

The Messiah age in Barcelona ,mimi nimemsifia sana Messi naona siku hizi bora nitulie tu ,in short duniani in real football(not marketing football) hamna copy yake he is extra-ordinary unique ,having Messi in your team is a cheat code
 
1550946732568.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bro hata mimi nimechoka kila siku yeye.. Na mimi naanza kumchukia sasa sio kwa hizi sifa za blaza messi... Nimeelewa kwa nini watu umchukia messiah wa football


Wanamchukia kwa sababu yeye ni fundi, yeye ni mchezaji bora kuwahi kutokea katika ulimwengu wa soka....hicho ndicho kinachowaumiza hawa watu.
 
  • Thanks
Reactions: PNC
second half Barca kaingia na 4-3-2-1, Hapa Barca aka park bus ndani ya Seville half-hii plan b imesaidia sana maana chances were coming thick and fast. Feb ni bad month for Barca but majestically we are riding the storm
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom