FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

All blames kwa kocha

Mkuu, hii habari ni yakweli?

Screenshot_20190220-155938_Instagram.jpg
 
Velverde hana kosa- chances za kufunga tumepata nyingi mno-hata Messi composure yake mbele ya goal was suspect-match imekuwa hyped sana mpaka strike force yetu haitulii.Huko mbele inabidi watulie na mpira- Mimi uwa naona ajabu sana Barca akicheza 90 min bila goal.Hao Lyon second half utafikiri wako away- Nou Camp will sort them
 
Are you serious kamanda? Yani coutinho ni zaidi ya dembele? Hapo sikukubalii hata kidogo...Kinachonikera kwa dembele hatoi pasi kwa wenzie, hasa kwa Messi anapokuwa na nafasi ya kuscore...jamaa chenga nyingi mpaka anapoteza mpira.


Binafsi Dembele namkubali kuliko Coutinho....
Najua tatizo lako unapenda Sana watu wenye miguu ya kushoto mkuu Dembele hafiki hata kwa Dickson ambundo wa alliance school
 
dembele na kotinyo ni aina mbili za wachezaji.
qa ile nafas ya LW denbele anafiti zaid kuliko kotinyo maan dembele ni tipical wing wakt kotiny ni tipical midiflder.
nafikiri ushaelewa qa nn dembele anaanza pale
sijawahi kuelewa kwanini Dembele anaanza mbele ya coutunho wakati kiwango chake ni kama Matteo athon wa YANGA

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Barcelona naombea second leg watoke 1-1 pale Camp Nou.
Nitafurahi sana. Siku hiyo baba Debo hata akitaka usiku kucha, nampatia!!
 
Barcelona naombea second leg watoke 1-1 pale Camp Nou.
Nitafurahi sana. Siku hiyo baba Debo hata akitaka usiku kucha, nampatia!!
Naona umeamua tu kutafuta sababu ya kumnyima mwenzio utamu. Camp Nou ni sehemu ya kafara, hakuna kusalimika!

- KANA -
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom