FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Messi at the end ame react kama tumefungwa vile...

I think the problem is on our Coach too,hayuko proactive sana ,yaani anakua so reactive kama unabisha utaona Camp Nou watakavyochezeshwa watoto ,hii kocha ya kua na uoga nimeiona hadi kwenye sura za Barca DNA (look at Messi's face ,Busquets,S Roberto ) something is not well technically
 
Kocha kapewa mkataba wa mwaka cjui juzi hlf bado ndoto za kunyanyua ndoo 3 mnazo!! Cha muhimu aje Mourinho pale barca abadilishe uchezaji. Msimu huu uefa mtaisikia kwa wengine
 
Things you could do in the 1508 minutes since Luis Suarez scored an away #UCL goal:

Walk from Anfield to Old Trafford - and back
Watch Game of Thrones season 7 three times
Listen to Ariana Grande's new album 36 times
 
All blames kwa kocha
Nilisema tumefanya kosa kubwa kumpa mkataba huyu kocha ngoja niseme kwa hasira kuna mbwa alisema nimeacha kushabikia madrid lini? Hapa hatuna kocha tuna mzimamizi wa wachezaji walimu wa kawaida sana

Sent from my TECNO K7 using Tapatalk
 
Leo dembele simwelewi kabisa.

Sent from my GT-I9300 using Tapatalk

Huyu mshkaji anacheza vizuri sana, ila anachonikra hatoi pasi kwa wenzie na hasa kwa Messi anapokuwa na nafasi ya kuscore hampi pasi...



Suarez ameflop sana....
 
sijawahi kuelewa kwanini Dembele anaanza mbele ya coutunho wakati kiwango chake ni kama Matteo athon wa YANGA

Are you serious kamanda? Yani coutinho ni zaidi ya dembele? Hapo sikukubalii hata kidogo...Kinachonikera kwa dembele hatoi pasi kwa wenzie, hasa kwa Messi anapokuwa na nafasi ya kuscore...jamaa chenga nyingi mpaka anapoteza mpira.


Binafsi Dembele namkubali kuliko Coutinho....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom