FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya mambo ya kumtegemea Coutinho Winger ndio mrejesho wake ndio huu sasa

Aisee management wafanye kusajili tu Backup ya nguvu ya Dembele kule winga ya kushoto maana ikatokea Messi na Dembele wamepata serious injury silimulteneously timu ndio imekufa kibudu
 
Upo sahihi Kiongozi...
Madrid wanaweza wakajuta kutokitumia kipindi cha kwanza vizuri..!
Akiingia Messi Ramos na wenzake wataanza kucheza ujinga,hapo ndio mwisho wao utakapokua umefika..!
Lakini napenda Madrid ashinde hii game..!
Messi akiingia game atmosphere itabadilika makosa ni pale watakapo concentrate na messi alafu watakao wafunga ni wengine tofauti

Kuombea ushindi kwa Madrid hii tunasema yote kheri, hii itapendeza sana kama ukiwa haujabetia hii game, ili tukipundua meza isilete maumivu kiviile

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi ana injury angepaswa apumzike hawa watoto wanalipwa hela za nini? Wapambane ya hela Yote wenyewe.
Siku hizi Coutinho kawa mzigo, pale Barca tuliuziwa mbuzi kwenye gunia. Mzazi haendani kabisa na bei yake. Just ordinary and mediocre player.

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

48 Reactions
Reply
Back
Top Bottom