Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,109
- 1,249,104
Amen
Aya tuzidi kumuombea King apone.
Sema Amen
Aya tuzidi kumuombea King apone.
Sema Amen
Tumepigwa goli zuri sanaDalili zilionekana kama wanarudisha goal
Lkn tunashinda mkuuMpaka wametupata sasa
Rafinha sioni anacho fanyaMpaka wametupata sasa
Hii game ya kushinda kweli lakini bila kufanya jitihada tutaishia kutoa sale, jamaa wanatukabia juu sana inakua ngumu kuutoa mpira kwenye zone yetu, pia tukifanikiwa kufika kwao mipango inakua butu sana.....Lkn tunashinda mkuu
Kabisa lkn hawataweza kucheza hivi dkk 90.Hii game ya kushinda kweli lakini bila kufanya jitihada tutaishia kutoa sale, jamaa wanatukabia juu sana inakua ngumu kuutoa mpira kwenye zone yetu, pia tukifanikiwa kufika kwao mipango inakua butu sana.....
Hata coutinho mkuu anapoteza sana mipiraToa Rafinha, weka Semedo. Sergi Roberto asogee mbele
Me pia naona anazingua, Messi asipokuwepo anajichanua sana uwanjani ila huyu jamaa anaweza kutupatia matokeo muda tusiotarajiaKabisa lkn hawataweza kucheza hivi dkk 90.
Coutinho naona kama nae anazingua hivi
Ngoja tusubiri lkn control yake leo sio nzuri kabisaMe pia naona anazingua, Messi asipokuwepo anajichanua sana uwanjani ila huyu jamaa anaweza kutupatia matokeo muda tusiotarajia