FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread



Hit like if you want Lopetegui to stay
 
Madrid is now a shadow of it's own history!

Soon mtakua kama Liverpool.
 
Angalia record za El clasico ndo utajua nani mbambe hao ma giant wa dunia wanapokutana
 
Madrid imetoa wachezaji bora wapi? Wote waliowika apo ni ready made ...

Hata hivyo hongera kwa kujifariji...
 
upo sahihi mkuu real madrid ndio wababe wa soka duniani kwa ngazi ya klabu kwa miaka 3 mfululizo lakini pia na wewe unapaswa ukubali ya kwamba barcelona ndiye mbabe wa real madrid kwa miaka 10 hii.
rudi tena ukaangalie takwimu zenye kuwakutanisha wababe hao wawili.
kwenye miaka 10 hii real madrid ameshafungwa mara mbili magoli 5 na bila ya kusahau aliondoka uwanjani na kapu lenye magoli 6. kama ni mshabiki wa real madrid basi unapaswa uonyeshe heshima kubwa sana unapoijadili barcelona.

kwa jinsi defence yenu ilivyokuwa inakatika ovyo kama wachezaji wa ngoma ya baikoko siku ya jana laiti kama angelikuwepo mungu wa mpira ndani ya uwanja usingelikuwa na nguvu ya kuja kuandika comment yako humu ndani.

anakusalimia sergio roberto, eti baada ya mechi kumalizika sergio alimuuliza valverde hivi mechi ya el classico tunacheza lini tena?

https://fussball.wettpoint.com/en/h2h/757-747.html
 
Bado Round ya pili Mkuu. Urudi kutoa pongezi hivyo hivyo. Ahsante kwa pongezi hizo...
 
Yaani kifupi ni kwamba,
Vijana wa La-masia hufundishwa na kupandikizwa uzalendo kuhusu "Kuipenda na kuitumikia kilabu kwa moyo wote".

Hiyo ni moja ya maeneo ambayo hutiliwa mkazo sana kwa vijana wawapo kituoni-Lamasia. Kwa kijana aliyeiva vizuri ktk kila nyanja (mpira na kisaikolojia/kimawazo/kifikira) huwaza kuitumikia klabu moja tu ktk maisha yake ya soka la kulipwa yaani huwaza kuchezea Barcelona tu.

Baadhi ya mifano ya wachezaji waliopitia La-masia na kuiva 100% ni pamoja na Xavi6, Iniesta8, Messi10, nk. Ikumbukwe kuwa wakati Iniesta8 anaondoka msimu huu aliwaambia waandishi wa Habari kuwa "ktk maisha yake hatachezea timu yoyote Ulaya kwa 7bu hataki kuona hata siku 1 anacheza dhidi ya Barcelona (klabu yake ya zamani)".

Sasa, unaweza kuona ni Upendo/uzalendo wa aina gani aliokuwa nao juu ya Barcelona. Pia, hata Mfalme wa Mpira duniani/King Messi10 naimani kuwa atastafia hapo hapo.

Kabisa Mkuu, unajua hawa vijana wa La Masia huwa wana hasira kali saana na Madrid.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…