FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Close the door, sit alone in a room, put some classical music in the background, type "Arthur Inter Milan personal highlights" on the YouTube app
 
Closes the door, sits alone in a room, puts some classical music in the background, types "Arthur Inter Milan personal highlights" on the YouTube app
Arthur amekuwa mtamu sana aisee. Akiaza kucheza na Riqui Puig hapo kati itakuwa balaaa
 
Nilikuwa napenda verrati aje barca lakini roho kwa sasa imekataa kabisa....huyu midfield magician arthur melo hatari sana maana anazunguka nyuzi 360 kama kasoma transformation maana anafumua pira kama amekaa na sergio miaka 20 pale katikati...kama namuona mzee modric maduara anakavyokuwa anadhurura kwa dogo pale varandani katikati....milan na spurs wanajua balaa lake pale varandani maana anawapigia mwingi mbele ya mademu zao yeye hana time kabisa
 
Close the door, sit alone in a room, put some classical music in the background, type "Arthur Inter Milan personal highlights" on the YouTube app
Dogo ana roho mbaya sana yeye hajui nani anakuja mbele yake awe mkubwa au mdogo yeye anafumua tu pira kubwa..huyu katumwa kutoka kwao aje kuwaonyesha jinsi ya kuchukua dimba na kulitia mfuko wa bukta.....kama namuona luka maduara anavyojiandaa kisaikolojia....tena na jumapili hajifungie hivyo hivyo atuletee fujo zake pale varandana pa kugawia chakula yule mupe, yule mupe na yule muruke
 
Na ukimkurupukia anakuchana msamba kama wa Amber rutty.

Na ukimkurupukia anakuchana msamba kama wa Amber rutty.

😀😀😀😀😀 spurs na milan wanajua maana spurs aliwafanyia unyangindo varandani kwao wapo na wazazi wao pamoja na mademu zao.....akarudia tena kwa watoto wa papa kapiga sura ya mbuzi bila kujali mademu zao wametumia kiasi gani kuja msibani.....hile mido msiba hujao hatataka tena kukutana na dogo pale kwenye jungu kuu la ugawaji
 
Messi was forced to sit out Barcelona's Champions League match against Inter Milan due to an arm injury and watch the game from the stands with his son Thiago.

Perhaps feeling bored that his father couldn't play, Thiago was handed a paper and he seemingly started to draw a Juventus badge on it.

Cristiano Ronaldo joined Juventus from Real Madrid last summer, his son - Ronaldo Jr. - is a well known Messi supporter, but now it seems Thiago has given us a hint on whether he is a Ronaldo fan or not.
 
Hahhha, this isn't a big deal, mbona hata Ronaldo alishawahi sema mtoto wake ni mpenzi mkubwa tu wa Messi
 
Ivan-Rakitic-3.jpg

Anaitwa Ivan Rakitic (alizaliwa 1988) ni mchezaji mtaalamu sana ambaye anacheza kama kiungo wa kati au mshambuliaji wa klabu yetu pendwa Barcelona FC na timu yake ya kitaifa Croatia.

Rakitić alianza soka huko Basel na alitumia misimu miwili kabla ya kusainiwa na Schalke 04. Baada ya kutumia msimu mmoja na nusu Bundesliga, alisainiwa na Sevilla mwezi Januari 2011. Miaka miwili baadaye, Rakitić alikuwa nahodha wa klabu ya sevilla na alishinda magoli mengi katika msimu wake wa kwanza. Hapa kama mnakumbuka game yetu ya mwisho ya ligi ilikua dhidi ya Sevilla na huyu jamaa aliwafunga goli letu la nne na hakushangilia kutokana na kwamba wale ni waajili wake wa zamani na aliondoka pale bila matatizonao

Juni 2014, Barcelona na Sevilla walikubaliana juu ya uhamisho wa Rakitić. Alifunga goli la kwanza la Mwisho wa Ligi ya Mabingwa 2015 na akawa mchezaji wa kwanza kushinda Ligi ya Mabingwa mwaka mmoja baada ya kushinda Europa League wakati akichezea vilabu viwili tofauti....

dffmpwcosjwx-ivan-rakitic.jpg

Huyu jamaa huwa naona nyota yake ni kama ya Busquet tu kutokana na kwamba huwa wanafanya mambo makubwa sana lakini hawaongelewi sana kama wachezaji wengine wanaofanya kawaida na wanaongelewa kila siku, kila kona...

Rakitik kwa sura anaonekana mpole sana sijui maisha yake ya nje ila nahisi atakua hivyo hivyo kama sura yake inavyoonekana, akiwa dimbani huwa ananifurahisha maana mara nyingi anamichezo michafu(Rafu) ambayo huwezi amini kama yeye ndio kafanya, kacheza mechi 517 ana magoli 76, kadi anazo 64 ambazo njano 62 na nyekundu 2(hizo ni takwimu za vilabu vyote alivyowahi kuchezea)

Nilichokumbuka juu yake mpaka kuamua kumuuzisha sura humu jukwaani ni yale magoli yake ya kizazi sana nahisi wote mnayajua kama sio kuyakumbuka ata ukifatilia mechi kadhaa tulizopiga hivi karibuni kama hii dhidi ya Sevilla au ile ya ligi ya mabingwa dhidi ya Tot utakutana na mabalaa yake.....

Ivan-Rakitic.jpg
Poa wakuu jioni njema na maandalizi mema kuelekea game ya EL Clasico..

15157819400619.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom