wakuu emu piga picha, Uefa tukutane na Liver kwa defence yetu ilivyo sasa. Aisee, tunaweza kupigwa kipigo ambacho hatuwezi kukisahau. Yaani, Leganes tunashindwa kumpiga?, hata kama kuna new comers, hapana aisee!!!

Munir wamuachie copa del rey. leo Winger ya kulia angepiga Dembele na kushoto Coutinho ingekaa poa. Hili likocha linatuharibia toka lilivyoingia. Kwa ujingaujinga lilisababisha tutolewe na Roma.