FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Yani hata wewe mwana chelsea unashangaa sisi kujisifu?

Kwani umesahau tulichokufanya last season ya UCL?

Acha masikhara mkuu!

- KANA -
Msimu huu mna bahati tu sipo UEFA ningekunyoosha na hii sarriball

E&K
 
Goli la Mo Salah dhidi ya Everton lipo kati ya magoli yanayowania tuzo ya FiFA ya Puskas pia Salah anawania tuzo ya Mchezaji Bora wa Kiume wa FIFA 2018.

Mashabiki wote wa Liverpool na wapenda mpira wa ukweli fuata link hii kisha chagua Mo Salah. Anaejua mpira anastahili


The Best FIFA Football Awards
- FIFA.com

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nilikuwa sijafatilia haya mambo kutokana na majukumu, Ronaldo kachukia mwenzake kuchukua tuzo? Na hajahudhuria kabisa hizo tuzo?

Aiseee, huyu ni binadamu wa ajabu sana ktk ulimwengu wa soka, pale Madrid alijiona amecheza mpira peke yake?
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…