FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Walishakubaliana kuwa, kama Ajax wata qualify kucheza Uefa katika games wanazopiga sasa. Basi dogo watabaki nae msimu huu na kumwachia msimu ujao. Na kwamba kama hawatafuzu kucheza Uefa basi Dogo watamwachia hivi punde kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.Uyu de jong nataman sana aingie barca, dogo anajua lakn ajax wanaweka ngum
Ingawa inaonesha wanafanya vizuri ktk gemu hizo za kufuzu UCL, mfano jana wameshinda 3-0 dhidi ya std liege.