FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Arthur tusimlaumu kwa gemu ya sevila maana jamaa walikamia mechi hawakumpa Barcelona nafasi ya kucheza mpira kabisa walikua wanakimbia mwanzo mwisho kama wana mapafu ya mbwa
Nafikiri silawama Mkuu ila ni analysis tu kuhusu game alivyoiona. Kiukweli kajitahidi sana.
 
Mm nimeangalia second half, dembele naona leo kajitahidi sana kuliko match zingine za nyuma, pia mkumbuke hii winga ya kushoto ndio leo amecheza natural position yake ni winga ya kulia
Baada ya Coutinho kuingia alihamia kulia. ndipo alipata na goli.
 
Ao wanaomcriticize dembele leo hawajaangalia mpira apart from goal dembele kacheze fresh sana na ataendelea kuwaprove wrong....combination yake na messi ni fire...mchezaji ambayekacheza boko ni suarez afu uyo arthur kacheza kawaida sana hajapiga dribbles wala through passes za maana sema katulia kwenye middle
Uko sahihi sana mkuu, hata alivyo kuwa kocha anamtoa Dembele nilijiuliza kwann hajamtoa Suarez
 
Varvelde team imemshinda hii,
Team inakosa kabsa ubunifu mbele.
Anacheza mfumo wa kukaba sana kiasi kwamba wachezaji wamekosa kabsa kufikiria jinsi ya kufunga
Ni kweli aisee, yaani aina ya magoli kama enzi hizo hamna. Winger tulizo nazo ni butu sana. Yaani zikipata mpira zinafikiria zaidi kurudisha mpira nyuma tu.

Malcom+Semedo huenda wakaleta uhai huo maana kule US tour walikuwa wanakimbiza vizuri sana pembeni na kupiga kati cross za maana sana.

Dani Alves na Neymar walikuwa wanaweza sana hiyo kazi.
 
Hhhhh malcom mchezaji wa kawaida sana kwa barca naezamfananisha na rafinha sio mchezaji wa kuexpect makubwa kwa msimu huu ila akikua atatusaidia zaidi ila ni mchezaji kwamba mechi ndogo ndogo izi tunawezamuamini 100% na so kupumzsha wakubwa...na apo kwa semedo naona benchi litamuhusu kwa serg.roberto.....usajili utakaotusaidia mechi kubwa ndani ya msimu huu naona ni vidal 2 ao wengne wameletwa kupanua kikosi tu
 
Semedo nae mpira mwingi anarudisha nyuma
 
Yeah! Kifupi tuko na benchi la maana msimu huu.
 
Uyu de jong nataman sana aingie barca, dogo anajua lakn ajax wanaweka ngum
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom