FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Naona deal la Pogba lazima lishindikane tu ;
Kwa sababu Mou hana alternative nyingine na
Transfer door is about to close

Taarifa:kwa wale wapenda marudio supersport 7 wanarudia match zetu zote as champions of Laliga wamezifupisha kwa 30 minutes
 
akisajiliwa Pogba aiseee itakuwa hatari pale kati sijui kiumbe gan atakaeweza kutawala dimba akikutana na Varca
 
Wakala wa pogba wameshakubaliana na mshahara kabisa, man u wanakanusha... Hii deal inaweza kutokea wakuu.

Ooh
 
Bado 8
IMG-20180809-WA0017.jpg
 
Kwahiyo sasa ni rasmi Lucas Digne, Yeri Mina na Andre Gomez wote wameelekea Everton
IMG_20180809_215258.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom