Huyo jamaa sijawahi kumkubali kabisa.Pogba mzigo tu hafai kuwa Barça player. Hana jipya LA kuisaidia timu. Labda Kama Abidal anamtaka kwa sababu za utaifa
Dogo anaufahamu mpira vizuri mnoGATTUSO ALIVYO SHANGAZWA NA DOGO (Riqui Puig) BAADA YA GAME ALIKUWA NA HAYA KUSEMA
"Riqui Puig is a spectacle. "I am amazed to see a lad with the face of a child treat the ball like that. I see that he feels football inside him and what he did was like poetry."
View attachment 828835
NiDogo anaufahamu mpira vizuri mno
wakuotea mbali sana. Zile movements zake zinavutia kama jinsi ilivyokuwa raha kuwacheki akina Xavi, Iniesta au Gaucho.Maneno ya dogo baada ya kuhojiwa na Gazeti [Marca] kuhusu kulinganishwa na Fundi-Iniesta:-Ni![]()
![]()
wakuotea mbali sana. Zile movements zake zinavutia kama jinsi ilivyokuwa raha kuwacheki akina Xavi, Iniesta au Gaucho.
Ila nikiangalia kiungo kama pogba na mfumo wetu naona atufai ni matumizi mabaya ya pesaRaiola kapewa kazi rasimi kuhakikisha Pogba anatua kwenye mji wa catulunya
Nasikia Man U wamegomea bid ya €50+Gomez+Mina. Hata Mimi naombea asije tu.Ila nikiangalia kiungo kama pogba na mfumo wetu naona atufai ni matumizi mabaya ya pesa
Asije tu yule uchezaji wake na mfumo wetu tusije kumlaumu bure labda aende madrid atachezaNasikia Man U wamegomea bid ya €50+Gomez+Mina. Hata Mimi naombea asije tu.
Roberto kucheza right beki huwa cpend sana
Akicheza right ndo huwa anafiti ila tutafute namba 3 nyingine na 9Roberto kucheza right beki huwa cpend sana
Ndio tunatoa 40m + opt ya mina + alcesar (correction)!! Nimekuta tweet mtandaoni..Ila nikiangalia kiungo kama pogba na mfumo wetu naona atufai ni matumizi mabaya ya pesa

Ndio tunatoa 40m + opt ya mina + alcesar (correction)!! Nimekuta tweet mtandaoni..![]()
Yeah wamekataa, kifupi transfer hiyo sidhani kama itafufuka tena ndani ya muda wa masaa 24 haya yaliyobakia dirisha kufungwa Ulaya.ManU wamekataa
Namba tatu yupo barca B, sio mbayaAkicheza right ndo huwa anafiti ila tutafute namba 3 nyingine na 9
Tusiwe tuna bahatisha cha muhimu awepo wa uhakikaNamba tatu yupo barca B, sio mbaya
Mkuu yule dogo sio wa kubahatisha ndio maana hawana pressure kabisaTusiwe tuna bahatisha cha muhimu awepo wa uhakika
Ni dirisha la EPL si la ulaya, la ulaya linaisha trh 30Yeah wamekataa, kifupi transfer hiyo sidhani kama itafufuka tena ndani ya muda wa masaa 24 haya yaliyobakia dirisha kufungwa Ulaya.
Yeah Mkuu. Ni England pekee maana sehemu zingine kama Spain bado litakuwa wazi.Ni dirisha la EPL si la ulaya, la ulaya linaisha trh 30