- kANA -
JF-Expert Member
- Apr 17, 2017
- 4,088
- 10,552
You said it all!Article 2
Kwanini usajili wa Artulo Vidal?
1.Ana characteristics za Paulinho ambaye aliweza ku manage kuwa key player na kipenzi mkubwa sana wa Velverde Ernesto
Kwa ufupi hata mimi nilishangaa lakini Marca waliripoti Paulinho aliuzwa kinyume na matakwa ya kocha -i concour 100% kwa sababu muda team haina offensive midfielder utauzaje reserve?Iniesta ameenda kula hela Japan ,why selling Paulinho ambaye ana offer offensive na defensive mid fielder roles ?so Ernesto needed replacement
2.Ana experience:Artulo ni type ya players wa lion style die hard and very strong players
Hata team ikiwa na matokeo mabaya unahitaji midfielder zenye roho mbaya kama yeye ili waweze kukata umeme na kushambulia team pinzani
3.Artulo is good at aerial duels
Artulo Vidal ni mzuri sana kwenye mipira ya juu kwa kuzuia na kufunga ;Barca damu tunajua udhaifu wetu especially kwenye kuzuia corners na kushambulia -tuna magoli machache sana ya vichwa ,hii inategemea nature ya attackers wetu ambao wengi sio wazuri kwenye mipira ya juu(Messi ,Coutinho)
4.Tunataka UEFA :so ni bora usajili ufanyike mapema hatutaki mambo ya mwaka jana tunasajili wachezaji wazuri.. (coutinho ) katikati ya msimu halafu tunafungwa na sheria za UEFA mchezaji haruhusiwi kucheza
5.Velverde / Barcelona style;kwa kumchukua vidal Ivan Rakitic atapata chance zaidi ya ku play offensive roles(attacking) ambapo akishirikiana na Busquets naiona defence ngumu sana ya Barcelona ambayo imeongezewa kijana Lenglet .Ni hivi kwa sababu ya tabia ya Artulo Vidal kucheza all round (wide katikati ) ana possession ability na passing naiona Barcelona ambayo itakua haipitiki katikati na ambayo inashambulia muda wote can you imagine hapa sijamtaja Messi na Coutinho ambao pia wanacheza wide katikati?kuna uwezekano mkubwa Messi na El Pisterelo (Suarez) wakawa na magoli mengi sana msimu unaokuja na possibly season ya 2012-2013 ya Messi kufunga goli 91 itajirudia
Namaliza :Vidal kwa age yake ni short term solution ,big up kwa Eric Vidal kuwachukua Arthur Mello "msikivu and focused" ambaye mimi namuona kama the next iniesta
This is my pure analysis based on my intuition na experiences kama mwanachama damu wa Barca
Huu msimu tutanyanyasa European football bila chembe ya huruma. Nawahurumia madridiots!
Hold your jetpack, we're about to fly!