FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Aggressive mid (Aturo Vidal) ndani ya nyumba tayari. Wakati huohuo Alex Vidal anarudi zake Sevilla.
 
Lkn tumechukua Mzee sana huyu
Tunaitaka Champions league atleast mara mbili ndani ya misimu mitatu ijayo. Hapo lazima tuwe na nguvu plus experience ya kutosha. Huyu jamaa ni midfield hitman, atatufaa kwenye hii kazi.

Finaly, Blaugranas tutapata ladha mpya kwenye timu yetu!

Upambanaji wa kutokupumzika ndani ya dakika tisini, mpira wa kihuni (nampa pole Ramos mapema), midfield yenye ukatili na upole at the same time, with the maximum game winning spirit a player can offer!

Kuna football players, alafu kuna huyu jamaa. Ladies and gentlemen, this is king ARTURO VIDAL!
Kama bado hujaelewa namaanisha nini, angalia hii picha

IMG_20180804_104326.jpg
 
View attachment 826594
Hahahaaaa
 
Lkn tumechukua Mzee sana huyu
Amekuja kwa dharura ya msimu huu baada ya mid (Rabiot, Frenk de Jong) zilizokuwa zinafukuziwa kuzingua. Ili kuepukana na usumbufu kama wa msimu uliopita kwa PSG (Marco Verat) na Arsenal (Hector Bellerin) kutupa matumaini lakini mwisho wa siku tukawakosa, uongozi umeamua kuanya suruhisho la muda mfupi hasa baada ya makubaliano na Ajax kuwa wako tayari kumwachia De Jong msimu ujao bila chenga.
 
Tunaitaka Champions league atleast mara mbili ndani ya misimu mitatu ijayo. Hapo lazima tuwe na nguvu plus experience ya kutosha. Huyu jamaa ni midfield hitman, atatufaa kwenye hii kazi.

Finaly, Blaugranas tutapata ladha mpya kwenye timu yetu!

Upambanaji wa kutokupumzika ndani ya dakika tisini, mpira wa kihuni (nampa pole Ramos mapema), midfield yenye ukatili na upole at the same time, with the maximum game winning spirit a player can offer!

Kuna football players, alafu kuna huyu jamaa. Ladies and gentlemen, this is king ARTURO VIDAL!
Kama bado hujaelewa namaanisha nini, angalia hii picha

View attachment 826594
Hahahah....
Itakuwa balaa yaani
Siipatii picha vita itakavyokuwa el clasico ijayo (Huku Vidal kule Ramos).
 
Forca Barca. Walioishi Hispania,Brazil, Ureno, Uruguay, Chile, Argentina, Colombia tutaelewana
 
Lkn haitakuwa rahisi mkuu, hususani UEFA naona team za England na Italy zinajipanga sana pua
Hilo halina ubishi Mkuu. Ndiyo maana Eric Abidal hana masihara kabisa ukija kwenye swala la usajili. Hataki kusikia issue za signing kuwa 7bu za kushindwa Uefa msimu huu unaoanza.

Wajipange vema tu Mkuu lakini nasisi pia ndiyo twajipanga namna hiyo.
 
Mbona bodi ya usajili kama imechanganyikia? Hivi ni kweli wameamua kumchukua Vidal?

Aisee, tunaenda kupoteza €30M za bure kabisa. Sababu gani ya msingi kwanza iliyopelekea kufikiwa kwa maamuzi haya?

Kifupi nimegadhabika sana aiseee
Kuwa na Vidal sawa mkuu maana msimu uliopita bosquet alikuwa amechoka akawa uchochoro umtiti akafanya kazi kubwa pia hii italeta upana wa kikosi hata mambo yakiwa magumu tunakuwa na wachezaji wengi wa kubadili matokeo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom