FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kuwa na Vidal sawa mkuu maana msimu uliopita bosquet alikuwa amechoka akawa uchochoro umtiti akafanya kazi kubwa pia hii italeta upana wa kikosi hata mambo yakiwa magumu tunakuwa na wachezaji wengi wa kubadili matokeo
Naungana na wewe professor bus.anahitaji kupumuzika kidogo sio kucheza kila mechi
 
Kuwa na Vidal sawa mkuu maana msimu uliopita bosquet alikuwa amechoka akawa uchochoro umtiti akafanya kazi kubwa pia hii italeta upana wa kikosi hata mambo yakiwa magumu tunakuwa na wachezaji wengi wa kubadili matokeo
Kabisa Mkuu
 
Kweli mkuu maana vidal akishachoka kabisa watoto kina puig na miranda watakuwa vizuri kucover nafasi
Puig huyo, labda next season, kuna dogo ana Busquat saizi ni majerui huyo ndo kocha alisema atamuingiza kikosi cha kwanza
 
JAMES RODRIGUEZ & FRANK RIBERY BIDS FAREWELL MESSAGE TO AN ANIMAL/WARRIOR ATURO VIDAL.

JAMES RODRIGUEZ:
"An animal on the pitch, and a great person, I wish you the best little brother! I admire you, crack, I love you. Success, always!"

FRANK RIBERY
''Brother, you do not know how much I'm going to miss you! For me, you are the best, a man of values and principles."

''I am very proud to have played by your side!'I wish you the best for your future, you are a warrior and that is rare in our profession.''

IMG_20180804_223528_318.jpg
 
Arthur Melo ni pure talented yani ana mchanganyiko kwa xavi na iniesta umri bado mdogo lakini ana vitu adimu sana yani anakupa mpira harafu bado anautamani mpira huo huo
Kuna dogo aliva jersey namba 8, yaani huyu ndio kiboko ya wote hao na ni mdogo kuliko wote. Sijui jina lake ni nani
 
Ila angetuletea alcantara ingekuwa poa sana
Tatizo Barca blood wameanza vikwazo wanajiuliza kwanini aliondoka?wana falsafa yao Me's Que un club zaidi ya club so hata team ikiwa kwenye situation ngumu vipi kwakua wao walilelewa Lamasia El Cantera hamna kuhama wao ndio makomandoo wa mwisho kabisa kuondoka especially wanapokua kwenye young age
 
Leo nimepata muda wa kuongea na ku type

Rafinha kwa ushauri wangu abakishwe apewe muda atuonyeshe kua amekulia Lamasia na injuries zimempunguzia airtime na mipango yako
Kwakua sasa yuko fit 100% na performance yake ya pre-season US inasema kila kitu.Katika hali ya kawaida katika umri wake ndio muda ambao ataitafuta pick ya talent yake the same case na Dennis Suarez -hawa wawe ni kuku wa dawa kwa kiswahili tunasema

La pili Baada ya Robert Fernandez kufeli kutuletea UEFA kuanzia 2015-18 naona Abidal Eric anatupeleka kwenye nchi ya maziwa sitashangaa kabla ya transfer window haijafungwa another surprise kwa namna ile ile ya hijacking inakuja atafanya usajili wa left winger au another renowned midfielder -mark my word
 
Article 2

Kwanini usajili wa Artulo Vidal?
1.Ana characteristics za Paulinho ambaye aliweza ku manage kuwa key player na kipenzi mkubwa sana wa Velverde Ernesto
Kwa ufupi hata mimi nilishangaa lakini Marca waliripoti Paulinho aliuzwa kinyume na matakwa ya kocha -i concour 100% kwa sababu muda team haina offensive midfielder utauzaje reserve?Iniesta ameenda kula hela Japan ,why selling Paulinho ambaye ana offer offensive na defensive mid fielder roles ?so Ernesto needed replacement
2.Ana experience:Artulo ni type ya players wa lion style die hard and very strong players
Hata team ikiwa na matokeo mabaya unahitaji midfielder zenye roho mbaya kama yeye ili waweze kukata umeme na kushambulia team pinzani

3.Artulo is good at aerial duels
Artulo Vidal ni mzuri sana kwenye mipira ya juu kwa kuzuia na kufunga ;Barca damu tunajua udhaifu wetu especially kwenye kuzuia corners na kushambulia -tuna magoli machache sana ya vichwa ,hii inategemea nature ya attackers wetu ambao wengi sio wazuri kwenye mipira ya juu(Messi ,Coutinho)

4.Tunataka UEFA :so ni bora usajili ufanyike mapema hatutaki mambo ya mwaka jana tunasajili wachezaji wazuri.. (coutinho ) katikati ya msimu halafu tunafungwa na sheria za UEFA mchezaji haruhusiwi kucheza

5.Velverde / Barcelona style;kwa kumchukua vidal Ivan Rakitic atapata chance zaidi ya ku play offensive roles(attacking) ambapo akishirikiana na Busquets naiona defence ngumu sana ya Barcelona ambayo imeongezewa kijana Lenglet .Ni hivi kwa sababu ya tabia ya Artulo Vidal kucheza all round (wide katikati ) ana possession ability na passing naiona Barcelona ambayo itakua haipitiki katikati na ambayo inashambulia muda wote can you imagine hapa sijamtaja Messi na Coutinho ambao pia wanacheza wide katikati?kuna uwezekano mkubwa Messi na El Pisterelo (Suarez) wakawa na magoli mengi sana msimu unaokuja na possibly season ya 2012-2013 ya Messi kufunga goli 91 itajirudia


Namaliza :Vidal kwa age yake ni short term solution ,big up kwa Eric Vidal kuwachukua Arthur Mello "msikivu and focused" ambaye mimi namuona kama the next iniesta
This is my pure analysis based on my intuition na experiences kama mwanachama damu wa Barca
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom