FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Namuonea huruma aisee naiona safari yake
Huko Twitter dembele analike kila kitu kibaya kinachosemwa juu yake.. Kuna jamaa aliandika kwamba Dembele wenzako wako kambini wakitrain hard wewe una party huko marekani wakati una uhakika wa namba... Dogo akalike hii na kuiretweet. Ahahaha!

Dogo kaishaiona future yake pale barca haipo maana intensity ni kubwa sana na ambitious and well determined young player kama yeye wanaitafuta nafasi ya kuchezea Barca at any cost na fortunately Lenglet, Malcolm, ni usajili ambao utatisha saana.

Tusubiri tuone!
 
Mbona bodi ya usajili kama imechanganyikia? Hivi ni kweli wameamua kumchukua Vidal?

Aisee, tunaenda kupoteza €30M za bure kabisa. Sababu gani ya msingi kwanza iliyopelekea kufikiwa kwa maamuzi haya?

Kifupi nimegadhabika sana aiseee
 
Last edited:
Vidal beki tokea lin???..vidal ni mchezaji wa kati mkabaji
Ooh!!! Sawa. Ndo nimeona pia huko All Football kumbe ni Mid. Basi ndiyo itakuwa 7bu yao msingi maana Valverdi anahitaji mid-zoefu pale kati baada ya kuondokewa na Maestro-fundi-Iniesta pamoja na Paulihno.

Lakini kwa jinsi alivyo yule,,,,atatutiaa hasara kibao-kucheza pungufu uwanjani (red card) kuliko faida hasa ktk game muhimu. Ila naona Valverdi atakuwa kabariki hiyo deal maana kaona kila mid-zoefu anayotaka inagoma, na msimu nao karibu ndo unaanza hivo.

Ngoja tuone
 
Mbona bodi ya usajili kama imechanganyikia? Hivi ni kweli wameamua kumchukua Vidal?

Aisee, tunaenda kupoteza €30M za bure kabisa. Sababu gani ya msingi kwanza iliyopelekea kufikiwa kwa maamuzi haya?

Kifupi nimegadhabika sana aiseee
Vidal haumjui vizuri mkuu bora ukae kimya
 
Ooh!!! Sawa. Ndo nimeona pia huko All Football kumbe ni Mid. Basi ndiyo itakuwa 7bu yao msingi maana Valverdi anahitaji mid-zoefu pale kati baada ya kuondokewa na Maestro-fundi-Iniesta pamoja na Paulihno.

Lakini kwa jinsi alivyo yule,,,,atatutiaa hasara kibao-kucheza pungufu uwanjani (red card) kuliko faida hasa ktk game muhimu. Ila naona Valverdi atakuwa kabariki hiyo deal maana kaona kila mid-zoefu anayotaka inagoma, na msimu nao karibu ndo unaanza hivo.

Ngoja tuone
Tumesha kutana na agent wa pogba
 
Tunasubiria jibu... Yes or No
IMG_20180802_200856_481.jpg
 
MKURUGENZI wa ufundi wa Barcelona, Eric Abidal amekanusha kwamba alikutana na kiungo wa Manchester United, Paul Pogba ambaye ni Mfaransa mwenzake na kujadili uhamisho wa staa huyo kwenda Nou Camp.

Hivi karibuni iliripotiwa kwamba Abidal ambaye ni staa wa zamani wa Barcelona alikutana na Pogba kuangalia uwezekano wa kutua Nou Camp baada ya staa huyo kukiri kwamba hana furaha na maisha ya Old Trafford chini ya kocha, Jose Mourinho.
 
Hivi kuna kitu najiuliza mbona wale first eleven ya Barca ambao wametoka kwenye La Masia wamesharudi toka rikizo na wameanza training toka jana lakini wengine bado?
 
Hivi kuna kitu najiuliza mbona wale first eleven ya Barca ambao wametoka kwenye La Masia wamesharudi toka rikizo na wameanza training toka jana lakini wengine bado?
Hawa wote walitoka mapema kwenye kombe la dunia, ambao hawaja ridi walifika mbali zaidi kwenye kombe la dunia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom