Humble African
JF-Expert Member
- Jul 28, 2013
- 4,781
- 14,439
Nampemda sana iniesta he is super humble, shy, and kind.If heaven really exists, then Iniesta has a place up there!
Yani jana refaree kafanya maamuzi ndivyo sivyo, Iniesta akapanic na kumfokea. Lakini alivyotulia akaenda kumuomba refa msamaha!
That guy is a saint.
Inasikitisha kwamba huu ndio msimu wa mwisho kumuona akipigania uzi wa the blaugrana!
Ni mpole na mkimya sana niliwahi kusikia interview ya Bosquet anadai iniesta ni mkimya na mpole sana na inafikia kipindi wakiwa kwenye chumba cha kubadilishia nguo hadi wamwite ndio wajue yumo unless unaweza kuhisi hayumo vyumbani kwa ukimya wake.
Jana kalia sana iniesta yaani ile ndio fainali yake ya mwisho na Barcelona. Timu ambayo kaanza kuipenda na kuitumikia akiwa na miaka 8 tu hadi Leo hii kazeeka. Na anahamia China hatacheza tena na Messi wala Sergio Inaumiza sana. Nenda Don...history will will never forget you as one of the best duo midfielder to have ever walk into this earth.
Waspanish wanasema Un canto a Galicia.. Quando saudade soy emanor soy amigos el compañero.
Mucho gracies el maestro! Iniesta.