Kabisa Mkuu, ila imekuwa ni fundisho kubwa sana kwake, maana 7bu kubwa ya kucheza hovyo dhidi ya Roma na kutolewa ni kwamba Valverde hakuzingatia "rotation policy" kabla na hata siku ya game yenyewe, hivyo karibu wachezaji wote walikuwa hoi bini taabani.Velverde ana kesi ya kujibu siku ya AC Roma nimekumbuka kudadadeki roho ishaanza kuuma
Kwanini team haikucheza kama inavyofanya leo? Daah anyways Copa Del Ley tayar la kwetu
Tumia aliez.me ipo vzr sanaNaomba link ya ukweli niangalie game hii daaa naangalizia facebook
Nipen link wapendwaNimetafuta kosa mpaka sasa hivi sijaona.
Mambo madogo madogo tu, kama Jordi Alba kuingia sana kati anawaruhusu kupiga cross from right flank.
Hivi huyu valverde angechezesha team namna hii kule Italia angepungukiwa nini?
![]()
![]()
![]()
![]()
![]()
Ingia playstore download app inaitwa Burma tv utaangalia fresh sana no scratchesNaomba link ya ukweli niangalie game hii daaa naangalizia facebook
Unaaadika google au?Tumia aliez.me ipo vzr sana
Mimi natumia mobdro mkuu, ila angalia post za nyuma wanachama waliweka link!Nipen link wapendwa
Hata google ukiandika haina shida itakupeleka aliez.me hapo utachagua mechi unayotaka kuangalia.Unaaadika google au?
Ni app hii?Tumia aliez.me ipo vzr sana
Uzuri saahizi tutakuwa tunashusha. Tunavunja rekodi ya magoli finali.Second half hiyo
Ni web hiyo ipo poa sana app nuing wanatumia hii link.Ni app hii?