FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

30 times winners
Barcelona 5-Sevilla 0
Screenshot_2018-04-22-00-28-34.jpg
 
Valverde aendelee kubaki. Adhabu yake tumwambie ahakikishe misimu mitatu ijayo ya Champions League hatufungwi hata mechi moja
 
Velverde ana kesi ya kujibu siku ya AC Roma nimekumbuka kudadadeki roho ishaanza kuuma
Kwanini team haikucheza kama inavyofanya leo? Daah anyways Copa Del Ley tayar la kwetu
Ile mechi nikikumbuka nakuwa mnyonge sana asee
 
Madrid we are coming for you shambafuuu
Camp Nou tunaua mtu goli 5-0


Nikadhani unaongelea UEFA.
Nilikua najiuliza toka lini bakadogs wakajitapa tapa UEFA.
Maana UEFA ina wababe wake na wanajulikana Dunia nzima.
Los Blancos na Munchen.
Ukileta fyokofyoko tunawaita Roma.
 
Nikadhani unaongelea UEFA.
Nilikua najiuliza toka lini bakadogs wakajitapa tapa UEFA.
Maana UEFA ina wababe wake na wanajulikana Dunia nzima.
Los Blancos na Munchen.
Ukileta fyokofyoko tunawaita Roma.
Bila refa kufanya yake hata nusu msingeingia
 
Valverde aendelee kubaki. Adhabu yake tumwambie ahakikishe misimu mitatu ijayo ya Champions League hatufungwi hata mechi moja


Mshikilie hapo hapo.
Kule UEFA mnatujaziaga tu nafasi na kuongeza Carbon dioxide.
Mwisho wa siku fainali wanaingia walewale kila mwaka.
Mi naona UEFA wabadili utaratibu, timu zianze kuchujwa ndani ya nchi zao kabisaaa. UEFA zinaingia hatua ya Semi final tu.
Mkibisha tunawaita Roma waje wajipigie tena.
 
Bila refa kufanya yake hata nusu msingeingia
Mafanikio ya barca
Wamechukua copa de la rey 2016,2017 na 2018
Champions league :quarter final 2016,2017 na 2018
Mafanikio ya Madrid
UCl bingwa 2016,2017 na 2018
Copa de la rey :hawajachukua tokea 2014
Nimeamini kila kombe lina wababe wake
 
Mafanikio ya barca
Wamechukua copa de la rey 2016,2017 na 2018
Champions league :quarter final 2016,2017 na 2018
Mafanikio ya Madrid
UCl bingwa 2016,2017 na 2018
Copa de la rey :hawajachukua tokea 2014
Nimeamini kila kombe lina wababe wake
Mwaka jana bayern walifanyiwa figisu mkapita, mwaka huu juve wamefanyiwa figisu mmepita. mwaka jana kwenye ligi tulifanyiwa figisu huku mkibebwa mkachukua ligi. Makombe ya magumashi hata ladha hayana. Iliona vidume jana tumemtungua mtu 5.
 
Madrid ni kama tom boy!

Huko mtaani anawakazia watu wanamuona mgumu kweli kweli.

Ila akifika gheto anavaa kanga alafu wahuni wanajipakulia!

Trust me, tunachukua hii Laliga tukiwa unbeaten mpaka mwisho wa msimu!
Hilo halina ubishi na waombe sana wapate UCL vinginevyo ni "trophyless" msimu huu...
 
If heaven really exists, then Iniesta has a place up there!

Yani jana refaree kafanya maamuzi ndivyo sivyo, Iniesta akapanic na kumfokea. Lakini alivyotulia akaenda kumuomba refa msamaha!

That guy is a saint.

Inasikitisha kwamba huu ndio msimu wa mwisho kumuona akipigania uzi wa the blaugrana!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom