kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Denis ni mtaalam ila amekosa bonge la goalDennis , Coutinho, Dembele wanatutosha sana. Ni hili likocha tu
Denis ni mtaalam ila amekosa bonge la goalDennis , Coutinho, Dembele wanatutosha sana. Ni hili likocha tu
Braza si ulisema jamaa ana ibeba tim na anaweza
Pole bro
Ndio anaibeba na ndio maana zimepatikana hizo 2.
![]()
![]()
![]()
![]()
Ameibeba kwenye lipi bro
Au hujaangalia mechi
HahahaHapa tutakesha aise, ngoja nilale tu...maana bado nina machungu ya kutolewa
Hahaha
Utakuwa bingwa bila kupoteza mechi usjali
Usku mwema
Mtani fanyeni yote, ila msitolewe UEFA!Hahaha
Utakuwa bingwa bila kupoteza mechi usjali
Usku mwema
Mtani tunachukua ile hata kwa kununuaMtani fanyeni yote, ila msitolewe UEFA!
Mtaishi kwa masimango sana, itakua ahueni kubwa sana kwetu!
Naona manunuzi yalianzia kwa oliver!Mtani tunachukua ile hata kwa kununua
Wachezaji wanaokoa kazi ya kocha
HahahahaaNaona manunuzi yalianzia kwa oliver!
![]()
![]()
![]()
![]()
Ila nina wasi wasi hawa uliobaki nao wanaweza wasikuzuie.
Sisi ndio tulikua mwisho wako!
Bayern akikubali mumtoe tena this time around watapoteza heshima as a European giant!Hahahahaa
Ile tulishinda kihalali jirani.
Bado ki ukweli kombe halina mwenyewe ila naamini we should be able to beat this bayern kwa kweli
Ni mbovu hata liver ingemtoa.Bayern akikubali mumtoe tena this time around watapoteza heshima as a European giant!
Maana mumemuonea sana lately!
Usiku mwema mkuu.
hiyo ni ndoto mbaya mkuu ukizingatia Iago amekuwa wamoto sana.Nimeota Leo tumepigwa na celta vigo
Sio iago tu hata unzue nae pia ametupania ile mbayahiyo ni ndoto mbaya mkuu ukizingatia Iago amekuwa wamoto sana.
Safi sana kaanza fundi Denis suarezBarca Vs Celta 17/04/2018View attachment 748129