FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Sina uhakika na ulichokijibu kama kinahusiana na kilichoandikwa, nimezungumzia winga ya kishoto na sio ya kulia. Nadhani walau umeanza kunielewa.
Winger ni winger tu mkuu... Okey fine, sio wa kushoto!! Basi mpeleke messi kushoto na dembele acheze kulia alafu suarez abaki kati peke yake kama mlivyokua mnafanya kabla neymar hajaondoka!!

Sio mnaleta excuse tu!! Tukutane msimu ujao....
 



na suarez mzigo nasema kila siku timu inakuwa kama vile ipo pungufu uwanjani leo tumedhalilishwa sana na mwalimu mpumbavu ambae anakariri kila siku mtu unasema bora lucho aiseee kuliko huyu mpumbavu bonge la aibu hii
 


King in Milan aliua kama ivyo yani lakini Leo team imezingua

Ila barca tumestahili kutoka kikosi hakiko balanced kuna uzi humu humu nilishawahi kuandika kuwa barca tunashinda kibahati mno
 
Barcelona should react as quick as possible and sign Jesse Lingard to bring back those glory days. Hes better than messi
 
Kweli baselona mmeshindwa kufunga hata goli moja dakika zote tisini??

Yaani hata ule ujanja ujanja wenu wa kuijangusha mpate penati Leo mliusahau??

Yaani timu kubwa hivyo inaongoza 4-1 halafu inashindwa kupata goli moja tu ugenini??

Nakwambieni huu uchungu wa Leo utawauma kwa kipindi kirefu sana.

Angalau hata mngetolewa kwa goli la ugenini, lakini kwa hii fedhea mtadhiakiwa sana kwanzia Leo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…