FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca is doing well kiasi kwamba kuna shortcomings zinajificha,Coutinho ni established star na kaja kwa hela kubwa lakini input yake bado haijaridisha. Dembele tunamsamehe he still got time on his side,huyu atawasha moto next season,tatizo match kama ya juzi ilibidi mtu kama Coutinho ajustify price tag yake
 
602x338_messi-rescues-barca-with-late-equaliser-at-sevilla.jpg

Hapa Chuma ndio kilikuwa kinatoka..kwa Kasi ya Rocket za Bwana Elon Musk!!Amenifurahisha sana kipa yule.Akalala kwanza na kuanza kuongea ongea maneno nafikiri ni kujilaumu kwa nini Beki umeachia Moto huo uje kwangu?? Wakati mambo yalikuwa poa tu eeee..Huyo jamaa daah MESSI MESSI..
 
Squad list
#BarçaRoma
Ter Stegen, N. Semedo, Piqué, I. Rakitic, Sergio, Denis Suárez, A. Iniesta, Suárez, Messi, O. Dembélé, Cillessen, Paulinho, Paco Alcácer,Jordi Alba, S. Roberto,
André Gomes, Umtiti, Vermaelen
 
Ronaldo....14 goals Barcelona.....13 goals........ Yaani barcelona ukijumlisha magoli yote waliyofunga UEFA pamoja na Messi wao bado hawamfikii Ronaldo..... hahaha....Barcelona ni timu mbovu mno..
View attachment 733690

Ronaldo hata alete magoli 100 but ataendelea kuwa mchumba kwa Messi. Hilo mbona liko wazi Sheikh!! Alafu tofautisha kati ya Striker na midfielder ni vitu viwili tofauti kabisa...Cr7 ni striker anapewa anafunga na kazi ya Messi ni attaking midfielder lazima apambane na mabeki ndio afunge kama sio kufunga atatoa assitst kwa wenzie.

Cr7 na Suarez hawa ndio same possessions,,kazi yao ni umaliziaji. Sasa kwanini asiwe na magoli mengi!!
 
Squad list
#BarçaRoma
Ter Stegen, N. Semedo, Piqué, I. Rakitic, Sergio, Denis Suárez, A. Iniesta, Suárez, Messi, O. Dembélé, Cillessen, Paulinho, Paco Alcácer,Jordi Alba, S. Roberto,
André Gomes, Umtiti, Vermaelen
Yeri Minna walimnunua wa nn sijui
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom