FineForever
JF-Expert Member
- Apr 12, 2017
- 1,777
- 2,361
Waje tu, tena naomba tuwe na hawa Madridiot mapema kwenye semi tu...Natumaini tutafika fainali japo nusu inaonekana kuja kuwa ngumu kuliko fainali.
Waje tu, tena naomba tuwe na hawa Madridiot mapema kwenye semi tu...Natumaini tutafika fainali japo nusu inaonekana kuja kuwa ngumu kuliko fainali.
Perfect marking....Yani gape la Busquat kubwa sana mana Rakitik na Polinho wanaenda sana kushambulia Afu wanajisahau kurudi kiasi kwamba kunakua na gape kubwa kati kiungo na mabeki. Ukiangalia tumeanza kushambuliwa mashambulizi ya hatari baada ya Busquat kutoka.
Abaki zake huko huko akipambana na hali yake....according to Don Balon, Neymar is willing to rejoin his former side on two conditions.
Firstly the forward is demanding to be paid as much as Messi.
The Argentine is the talisman at Barca and Neymar’s position as understudy contributed to his decision to leave.
Don Balon also claim that the former Santos star wants Messi to publicly request the Catalan club re-sign him.
Neymar wants to feel wanted by his former colleague and he has pointed out that a public announcement is something he has done in the past for players such as Chelsea star Cesc Fabregas.
waje semi final hawa tunawasubiria kwa hamukilicho baki in kumsubiri bibi harusi wetu Wa saintago bernabeu tukasherehekee saba za mwanzo.
Hahaaa sidhani kama tutaangukia kwa hao jamaa.Waje tu, tena naomba tuwe na hawa Madridiot mapema kwenye semi tu...
Hakuna timu ya kutusumbua Mkuu, mark my words...Hahaaa sidhani kama tutaangukia kwa hao jamaa.
Kama ni hao ushindi asubuhi tu
Mimi naihofia Liverpool tu kama watapitaHakuna timu ya kutusumbua Mkuu, mark my words...
Hawana kitu hao! "weakness" yao kubwa ni defence ingawa forward yao ni "very sharp" kwa sasa. Sisi tupo vizuri kila idara "provided" kuwa wachezaji wetu wasiwe majeruhi tu...Mimi naihofia Liverpool tu kama watapita
Mimi naihofia Liverpool tu kama watapita
Hao nguvu ya soda tu. Ni afazali wangempisha Man city aende semi,, kidogo anauzoefu na Ucl ila sio liver poor..
Nilitaka kuuliza..yani huyu sijiu atakua na umri ganHivi kati ya Man City na Liverpool nani ana uzoefu mkubwa UCL?
Tusubiri tuoneHawana kitu hao! "weakness" yao kubwa ni defence ingawa forward yao ni "very sharp" kwa sasa. Sisi tupo vizuri kila idara "provided" kuwa wachezaji wetu wasiwe majeruhi tu...
Hahaa hope tutafanya vizuri
Hao nguvu ya soda tu. Ni afazali wangempisha Man city aende semi,, kidogo anauzoefu na Ucl ila sio liver poor..
Kwenye historia ya karibuni Mancity wako vizuri zaidi.Hivi kati ya Man City na Liverpool nani ana uzoefu mkubwa UCL?
Hawa hawana kitu. wanamtegemea Salah ambaye atakutana na Jordi alba na iniesta. akipiya anamkuta Umtiti.Mimi naihofia Liverpool tu kama watapita
Hawa hawana kitu. wanamtegemea Salah ambaye atakutana na Jordi alba na iniesta. akipiya anamkuta Umtiti.
Hivi kati ya Man City na Liverpool nani ana uzoefu mkubwa UCL?
Huyu ndugu yetu Shaffi dauda alikuwa serious jamani?, eti Mechi ya juzi Cr7 alitoka na kijiji!!! 😀😀😀😀 au hakuangalia?
View attachment 735044
Utakavyotaka kuongea ongea
kilicho baki in kumsubiri bibi harusi wetu Wa saintago bernabeu tukasherehekee saba za mwanzo.