Iceman 3D
JF-Expert Member
- Sep 3, 2016
- 20,611
- 67,105
We braza una mfaninsha Cr 7 na Suarez!!!Ronaldo hata alete magoli 100 but ataendelea kuwa mchumba kwa Messi. Hilo mbona liko wazi Sheikh!! Alafu tofautisha kati ya Striker na midfielder ni vitu viwili tofauti kabisa...Cr7 ni striker anapewa anafunga na kazi ya Messi ni attaking midfielder lazima apambane na mabeki ndio afunge kama sio kufunga atatoa assitst kwa wenzie.
Cr7 na Suarez hawa ndio same possessions,,kazi yao ni umaliziaji. Sasa kwanini asiwe na magoli mengi!!
Yaan una mshabikia Messi hadi unashindwa kujua mpira.
