mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Anapiga interception nyingi kinoma km unakumbuka wakati ana be introduced sifa kuu ni speed ile kufika 33km/hr ni kawaida tu kwake sasa subiria azoee uone jinsi atakavyokua mtamu pia kwenye ku attack na crosses za right flank (aki-improve hapa tushaua ndege wa 5 kwa jiwe moja)Alafu anakaba kwa akili kinoma