Kingsharon92
JF-Expert Member
- Aug 10, 2015
- 8,221
- 11,374
Barca 4 As Roma 0 Messi 2 L. Suarez 1 Iniesta 1
Game ya leo naona kama Paulinho na Dembele wata offer the best the have kuanzia katikati na pembeni upande wa kulia
Good defence kwa Semedo you are real RB
Hizo comments zinakumalizia space nini? [emoji15] [emoji15]Punguza kujaza ma message kwenye Uzi basi, mbona wengine tuko kimya tunasikilizia game kistaarabu tu.
Au ndo kusema wewe unajua sana.
Mdomo huo
Barca 3- Roma 0Punguza kujaza ma message kwenye Uzi basi, mbona wengine tuko kimya tunasikilizia game kistaarabu tu.
Au ndo kusema wewe unajua sana.
Mdomo huo