FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

2E52BE05-D238-46F4-AF37-004D464C9A25.jpeg
Look at his face
 
MAONI KUTOKA KIVULE JUU YA MATCH YA JANA
1. Ni wakati wa Denis Suarez kuanza kikosi cha kwanza, kama ad Paulinho na uzito wake anaanza kikosi cha kwanza basi ni wakati wa Paulinho kumuachia nafasi Denis Suarez. Jana aliupiga mpira mwingi mno ad nkabaki nimeduwaa ndo huyu ambae hajacheza zaidi ya miezi 2 au naota. Na nadhani uyu ndio mrithi sahihi wa Neymar akiaminiwa.
2. Upande wa kulia Sergi Roberto na Dembele hawaelewani kabisa, naonaga mara nyingi mno Sergi akikimbia na mpira upande wa kulia naona anakua peke yake na Dembele haji kumpa support anaingia sana ndani badala asogee pembeni ili wacheze na Sergi Roberto
3. Upande wa kushoto nao asipocheza Iniesta tunayumba sana, akianza Coutinho na Alba, Alba akishika mpira haoni wa kumpasia badala Coutinho aje wacheze yeye anakimbilia mbele nadhani Iniesta inabidi azidi kumpa darasa Coutinho au tumbadili Coutinho awe anacheza 11 na tusimtegemee kama ni mrithi wa Fundi wa mpira Midfielder Maestro Andres Iniesta
4. Umtiti jana kayumba sana nadhani ni bahati mbaya na hakuna kila mchezaji anacheza vizuri kila match. Namkubali sana Umtiti na pass zake ruler na sijawahi muona akibutua ukija vibaya unaminywa alafu anapiga pass zake ruler zenye macho
5. Naumia sana tunaua kiwango cha Sergi Roberto kumchezesha number 2 kila siku akati huyu jamaa akiwa midfielder mie roho yangu inasuuzika sana mana ana kasi na anajua sana kupandisha timu uyu jamaa.
6. Barcelona na timu ya taifa ya Argentina bila ya KING MESSI haiwezekani, uyu MESSI uyu anatudai hela nyingi sana na ningekua na uwezo tungeanzisha kampeni dunia nzima kwa tunaompenda KING MESSI tuwe tunakatwa walau 10% ya mshahara uingie kwenye account yake. Angalia kama jana na ile El classico anapiga bao la 3 na mpira unaisha apo apo izo raha kiukweli ata mkeo nyumbani hawezi kukupa. Uyu jamaa angekua Tanzania hapa, ningeandika mkataba awe analala na mke wangu kwa mwezi mara 5.
 
Inasikitisha sana siku Messi akiondoka Barca. Kabla hajaingia, Barca ilikuwa ya kawaida na kama seville wanhekuwa watulivu, wangepiga hata 5. Messi kaingia ndio timu ya Barca ikaanza kucheza. Ni aibu sana kwa wachezaji wote wa Barcelona kubebwa na mchezaji mmoja
AIBU na Barca bila Messi ni timu ya kawaida sana, hii imejionyesha mara kadhaa kama hachezi, huwa wanazidiwa.
Pia nafikiri hofu ya timu zingine juu ya Messi, uwepo wake uwanjank unawatia hofu. Asipokuwepo wanacheza mpira.
Hahahaha,Lazima uwe na hofu,messi ni Allien
 
Mkuu uko sahihi sana hasa hapo kwa Sergi Roberto kuchezeshwa full back 2 huwa inaniuma mno yaan nikama ishakuwa confirmed tu jamaa ni beki na sio midfielder tena

Sioni kama Sergi Roberto atakuja kurudi kweny natural position yake

Kuhusu Denis Suarez, tusipoangalia tutakuja kujutia kama kwa Thiago alcantara
 
MAONI KUTOKA KIVULE JUU YA MATCH YA JANA
1. Ni wakati wa Denis Suarez kuanza kikosi cha kwanza, kama ad Paulinho na uzito wake anaanza kikosi cha kwanza basi ni wakati wa Paulinho kumuachia nafasi Denis Suarez. Jana aliupiga mpira mwingi mno ad nkabaki nimeduwaa ndo huyu ambae hajacheza zaidi ya miezi 2 au naota. Na nadhani uyu ndio mrithi sahihi wa Neymar akiaminiwa.
2. Upande wa kulia Sergi Roberto na Dembele hawaelewani kabisa, naonaga mara nyingi mno Sergi akikimbia na mpira upande wa kulia naona anakua peke yake na Dembele haji kumpa support anaingia sana ndani badala asogee pembeni ili wacheze na Sergi Roberto
3. Upande wa kushoto nao asipocheza Iniesta tunayumba sana, akianza Coutinho na Alba, Alba akishika mpira haoni wa kumpasia badala Coutinho aje wacheze yeye anakimbilia mbele nadhani Iniesta inabidi azidi kumpa darasa Coutinho au tumbadili Coutinho awe anacheza 11 na tusimtegemee kama ni mrithi wa Fundi wa mpira Midfielder Maestro Andres Iniesta
4. Umtiti jana kayumba sana nadhani ni bahati mbaya na hakuna kila mchezaji anacheza vizuri kila match. Namkubali sana Umtiti na pass zake ruler na sijawahi muona akibutua ukija vibaya unaminywa alafu anapiga pass zake ruler zenye macho
5. Naumia sana tunaua kiwango cha Sergi Roberto kumchezesha number 2 kila siku akati huyu jamaa akiwa midfielder mie roho yangu inasuuzika sana mana ana kasi na anajua sana kupandisha timu uyu jamaa.
6. Barcelona na timu ya taifa ya Argentina bila ya KING MESSI haiwezekani, uyu MESSI uyu anatudai hela nyingi sana na ningekua na uwezo tungeanzisha kampeni dunia nzima kwa tunaompenda KING MESSI tuwe tunakatwa walau 10% ya mshahara uingie kwenye account yake. Angalia kama jana na ile El classico anapiga bao la 3 na mpira unaisha apo apo izo raha kiukweli ata mkeo nyumbani hawezi kukupa. Uyu jamaa angekua Tanzania hapa, ningeandika mkataba awe analala na mke wangu kwa mwezi mara 5.
Aiseeeee hayo maoni ya mwisho yanatisha,upo Kivule sehemu gani nikutembelee tu!!
 
Inasikitisha sana siku Messi akiondoka Barca. Kabla hajaingia, Barca ilikuwa ya kawaida na kama seville wanhekuwa watulivu, wangepiga hata 5. Messi kaingia ndio timu ya Barca ikaanza kucheza. Ni aibu sana kwa wachezaji wote wa Barcelona kubebwa na mchezaji mmoja
AIBU na Barca bila Messi ni timu ya kawaida sana, hii imejionyesha mara kadhaa kama hachezi, huwa wanazidiwa.
Pia nafikiri hofu ya timu zingine juu ya Messi, uwepo wake uwanjank unawatia hofu. Asipokuwepo wanacheza mpira.
kabisa ,After yesterday's game it became evident that Barca is heavily dependent on Messi...the team needs to start working on a strategy and introduce some young talent from the academy to replica Messi after his retirement...

frankly denise suarez made the difference yesterday not only messi
 
MAONI KUTOKA KIVULE JUU YA MATCH YA JANA
1. Ni wakati wa Denis Suarez kuanza kikosi cha kwanza, kama ad Paulinho na uzito wake anaanza kikosi cha kwanza basi ni wakati wa Paulinho kumuachia nafasi Denis Suarez. Jana aliupiga mpira mwingi mno ad nkabaki nimeduwaa ndo huyu ambae hajacheza zaidi ya miezi 2 au naota. Na nadhani uyu ndio mrithi sahihi wa Neymar akiaminiwa.
2. Upande wa kulia Sergi Roberto na Dembele hawaelewani kabisa, naonaga mara nyingi mno Sergi akikimbia na mpira upande wa kulia naona anakua peke yake na Dembele haji kumpa support anaingia sana ndani badala asogee pembeni ili wacheze na Sergi Roberto
3. Upande wa kushoto nao asipocheza Iniesta tunayumba sana, akianza Coutinho na Alba, Alba akishika mpira haoni wa kumpasia badala Coutinho aje wacheze yeye anakimbilia mbele nadhani Iniesta inabidi azidi kumpa darasa Coutinho au tumbadili Coutinho awe anacheza 11 na tusimtegemee kama ni mrithi wa Fundi wa mpira Midfielder Maestro Andres Iniesta
4. Umtiti jana kayumba sana nadhani ni bahati mbaya na hakuna kila mchezaji anacheza vizuri kila match. Namkubali sana Umtiti na pass zake ruler na sijawahi muona akibutua ukija vibaya unaminywa alafu anapiga pass zake ruler zenye macho
5. Naumia sana tunaua kiwango cha Sergi Roberto kumchezesha number 2 kila siku akati huyu jamaa akiwa midfielder mie roho yangu inasuuzika sana mana ana kasi na anajua sana kupandisha timu uyu jamaa.
6. Barcelona na timu ya taifa ya Argentina bila ya KING MESSI haiwezekani, uyu MESSI uyu anatudai hela nyingi sana na ningekua na uwezo tungeanzisha kampeni dunia nzima kwa tunaompenda KING MESSI tuwe tunakatwa walau 10% ya mshahara uingie kwenye account yake. Angalia kama jana na ile El classico anapiga bao la 3 na mpira unaisha apo apo izo raha kiukweli ata mkeo nyumbani hawezi kukupa. Uyu jamaa angekua Tanzania hapa, ningeandika mkataba awe analala na mke wangu kwa mwezi mara 5.
Najua umeandika kwa furaha, mke si wa kushea!
 
Lionel Messi came off the bench to preserve Barcelona's unbeaten run in La Liga with a sensational late equaliser in a 2-2 draw at Sevilla as the runaway leaders came back from two goals down in the space of a minute.😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀😀

There after mtu akiambiwa Messi ni bora watu wanapinga eti Messi anabebwa na timu, kwamba kama si iniesta na xavi hana lolote 😀😀😀
Guardiola mwenyewe alikiri akikutanata na King Messi uwanjani bora akae tu na haoni sababu ya kusimama na kufundisha wachezaji wake.
0b5676cfdc0ef03046eee8fd802c493e.jpg

DYuFgFSXkAAHhVU.jpg

Habari iwafikie wale wachache wanaojifanya wanaujua sana mpira.ni hivi? MESSI NDIYE BABA WA SOKA KUWAHI KUTOKEA KATIKA USO WA DUNIA NA HAFANANISHWI NA VITU VYA KIPUMBAVU BWANA...HUYU KIUMBE SIJAPATA KUONA. FULL STOP.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom