FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Na alichokifanya Messi ni tofauti na baba fulani ambaye anafunga useless goals
Magoli ya Messi yote ni leverage au ladder yanatutoa one step behind to another foward
Cristiano Ronaldo is the king of useless goals and small teams
This is calles waste of words.

Cr 7 is the real deal
 
Substitution ya Dembele imenikera sana. He was the top performer!

Leo Iniesta alikua mbovu kupindukia, amepoteza mpira mara nyingi sana. I think yeye ndie alietakiwa kumpisha Messi!

Ipo siku Barca tutakua na majuto juu ya Dennis Suarez kama ilivyotekea kwa Thiago Alcantara! Sioni sababu ya huyu dogo kunyimwa nafasi!

Game ya Leo kama tungecheza na team inayojielewa, tungekoga nyingi sana.

Anyway, we're unbeaten!

Ni kweli wana mastriker butu kabisa dah maana sio kwa kukosa magoli yale..... Muriel butu kabisa bora angebaki udinese tu

Mngewazabua 10 kabisa wajifunze.... Yamenikera sana leo mie nlishaanza kushangilia gap na atletico linapungua nashangaa nakuta 2-2

Aaaaaaarrrgh
 
Kiukweli dembele bado hajafiti kwenye mfumo wa Barcelona anapoteza sana mipira. Kosa lingne lilikua kwa Rakitiki alijisahau kua anatakiwa afanye kazi ya Busquat akaendelea kufanya kazi yake. Ikapelekea nafasi ya Busquat kua wazi.
 
Substitution ya Dembele imenikera sana. He was the top performer!

Leo Iniesta alikua mbovu kupindukia, amepoteza mpira mara nyingi sana. I think yeye ndie alietakiwa kumpisha Messi!

Ipo siku Barca tutakua na majuto juu ya Dennis Suarez kama ilivyotekea kwa Thiago Alcantara! Sioni sababu ya huyu dogo kunyimwa nafasi!

Game ya Leo kama tungecheza na team inayojielewa, tungekoga nyingi sana.

Anyway, we're unbeaten!

Uko sahihi leo inesta ndio kazingua
 
Nilijua hawa lzm wawepo wanasubir mechi iishe wateme shiti ila thanks God we are free from this huge trap
Mi sja tema shit nyie ndio mna shangilia droo mpaka mna mdrag down
5 times world player of the yr cr 7. Nikawa natoa masahihisho
 
Ndo nn sasa....sijakuelewa upo upande upi....
Ni kweli wana mastriker butu kabisa dah maana sio kwa kukosa magoli yale..... Muriel butu kabisa bora angebaki udinese tu

Mngewazabua 10 kabisa wajifunze.... Yamenikera sana leo mie nlishaanza kushangilia gap na atletico linapungua nashangaa nakuta 2-2

Aaaaaaarrrgh
 
Ni kweli wana mastriker butu kabisa dah maana sio kwa kukosa magoli yale..... Muriel butu kabisa bora angebaki udinese tu

Mngewazabua 10 kabisa wajifunze.... Yamenikera sana leo mie nlishaanza kushangilia gap na atletico linapungua nashangaa nakuta 2-2

Aaaaaaarrrgh
Huyu Muriel ni butu hasa. sijui ni striker wa aina gani.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom