kurlzawa
JF-Expert Member
- Jan 23, 2018
- 16,694
- 20,648
Vipaji vilivyobaki barca kwa vijana ni uyo dogo lakini nashangaa hapewi mda wa kutoshakabisa uwa naumia sana mwalimu anapomuweka nje.....hiki ni kipaji kikubwa sana hila mwalimu anatuwekea experiments zake