mwekundu
JF-Expert Member
- Mar 4, 2013
- 22,477
- 21,023
Arrangement za kocha match zote tuluzotokea mbavuni zimetu costGo on point 3 muhimu!!!
Arrangement za kocha match zote tuluzotokea mbavuni zimetu costGo on point 3 muhimu!!!
Ana muwaza shakira tuuPique bwana
HahaaaaaaUuuuuwi leo haya mapumb.nitayapasua
Yaani Acha tu inabidi ajichunguze kwenye hili.Arrangement za kocha match zote tuluzotokea mbavuni zimetu cost
Hahahahahahahawa jamaa hata wakishinda hawatapata chochote wala hawaendi popote. sijui nini kinawafanya wacheze kwa nguvu hivi na wana mechi za UEFA.
Hahahahaha umenikumbusha mbali tukutane World CupUuuuuwi leo haya mapumb.nitayapasua
Hili la muhimu sana no kuchafua sheetMost influencial football never seen
Messiah...ha ha dakika ya 88 ana restore record yetu ya kutofungwa
Hao ndio BarcaWhat drama! Two goals in a minute
Yaani nilikuwa naomba miujiza tu ila kila nikiona sioni breakthrough hahahaha Sevilla hawaamini mijicho yao sasa.What drama! Two goals in a minute
Damu ni Man United, but nikiwa Spain napendelea zaidi Barca...... hehehe mi wa tofauti eeh???