FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Our opponent in their right side (defence &attack) wako so strong we need to change strategy mbaya hata katikati wametukamata
Game ambayo inabidi tucheze ni ya speed na high possessions
Vilevile wingers zote kushoto na kulia zicheze wide
Halafu iniesta apumzishwe acheze Messi katikati wata exchange kwenye wings na Dembele &Coutinho otherwise leo Coutinho tutamuona anazingua tu kule upande wa kulia kwa adui (ambako wako strong sana) jamaa hawamruhusu hata Jordi Alba kupanda ku attack isitoshe Navas anakimbia kwa kasi sana
In short wanazi press sana RB&LB zetu
Wva Banega nae ana kasi sana kulia mara nyingi sana amemuacha S.Roberto
Ikiwezekana hata Semedo aingie aisee
 
Upotezaji wa pasi ni wa kiwango cha kutisha, sijui international frendies zimewachosha!

Jordi Alba leo kawa uchochoro, kashindwa hata kupanda mbele.

Suarez haeleweki kabisa.

At least dembele anaonyesha uhai, japo combination yake na sergi Roberto kuna wakati wanapotezana.

Technically, game imetulemea. Tunahitaji kushinda kwa uwezo binafsi.

Bring in the GOAT!
 
Navas ana kasi sana the reason behind, kushoto nako Eva Banega ana kasi sana so jamaa wana sharp wingers na katikati wako vizuri (Nzozi) we need to break either of their strengths sana sana nina prefer katikati
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom