Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Hahah Paulinho anawakaamecheza mpira mzuri sana leo. kaassist na anacreate chances nyingi sana. hata Malaga hivyo ni wadhaifu, hata paulinho anaonekana bonge la Midfielder
Hahah Paulinho anawakaamecheza mpira mzuri sana leo. kaassist na anacreate chances nyingi sana. hata Malaga hivyo ni wadhaifu, hata paulinho anaonekana bonge la Midfielder
Yeah ndio top speed yake kwa leoananifurahisha anavyoteleza anakuwa kainama flani, humkuti!! kafika 33km/hr!! kama mnyama!!
Leo anawapunguza hadi kanzu kawapiga ame assist coutinho akapiga kisigino
Mess asipokuepo ndio anakosa wogaAaaah dembele anahitaji muda, yuko vizuriVp kiwango chake leo anajitahidi au anarukaruka tu?
huwa natamani right flank ya Dembele na Semedo istabilize. itakuwa na spidi hakuna mfanoYeah ndio top speed yake kwa leo
N jambo jema mana tumemlipia pesa nyingi aje kupuga kaziAaaah dembele anahitaji muda, yuko vizuri
Wanamwita mosquito.... hahaa dembouzananifurahisha anavyoteleza anakuwa kainama flani, humkuti!! kafika 33km/hr!! kama mnyama!!
Basi kitakua ni kifaa Brazil hadi uende WC wewe ni mtu sio wa sportAmeitwa Brazilian ngoja tumuone kwenye WC
SamahanJtano haifiki tu nione maufundi ya blaza Hazard magoli anavokinukisha kwenye kambi ya wakimbizi wa Catalonya wanaotawaliwa na watawala kutoka jijini Madrid.

Unayumba sana mzee baba sio jibu la ki uana michezo ilo, tuishie apa kaka.Basi tulia tu mkuu kama huogi maajabu ya Gr7 maana matechinical director wetu wame muona anafaa
Umeshinda mkuu, kila mtu na maoni yake ndo mana nikasema ayo ni maoini yangu. Tuko apa kujadili kila mtu na maoni yake sio kutafuta nani mshindi kwa lugha unazotumia. Ilipaswa kusema tu mi kwa upande wangu namkubali mno GR7 kwasababu hizi na hizi na mtu anapima hoja zako kama za msingi ata mie naweza kubadilika kutoka kutokua na imani nae ad kua na imani ane.Unayumba wewe kusema Gr7 hajui kwaiyo unataka tubaki na paco au?
Unadhani nani atatufaa zaidi kwenye left wing?Nasoma tetesi mitandaoni apa wanadai Griezman yuko mbioni kutua Barcelona. Kuongea ukweli mi sijawahi mkubali Griezman kwa upande wangu naona kama anakuzwa sana naonaga wa kawaida tu. Naangalia match nyingi zake ila naonaga anajua mpira ila wa kawaida tu, kama match iliyopita na Barcelona sijaona chochote alichofanya cha maana. Kwa upande wangu mie sijaona umuhimu wake kuja Barcelona.
Braza unapotokaNasoma tetesi mitandaoni apa wanadai Griezman yuko mbioni kutua Barcelona. Kuongea ukweli mi sijawahi mkubali Griezman kwa upande wangu naona kama anakuzwa sana naonaga wa kawaida tu. Naangalia match nyingi zake ila naonaga anajua mpira ila wa kawaida tu, kama match iliyopita na Barcelona sijaona chochote alichofanya cha maana. Kwa upande wangu mie sijaona umuhimu wake kuja Barcelona.