Neymar ana kichaa, Coutinho hawezi kukubali kwenda PSG...na Barca hawawezi kukubali hiyo proposal ya kijinga!Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Huyu Neymar kwani ana matatizo gani wakuu?Semedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Hawa watu bure kabisaaaaa, hata timu mbovu kama za EPL hawapati namba.Hahahah kaka katika wachezaji wasiojua mpira Barcelona ni hao Vidal na Gomez. Kiukweli ile sub ilikua acheze Dembele sio hao.
Mimba yako tumboni ina miezi mingapi?Nyie mapimbi wenzenu tumeshinda 4-0.
Msijifanye mko bize kuchambua kasoro za Dembele mara hajui Ki Spain.
Hapo tungepoteza game leo mngebwatuka kishenz na mamidomo yenu hayo.
HALA MADRID.
habari mbaya kabisa. wale mambwiga ilitakiwa tuwe tunawapelekea moto pande zote. lets hope Roberto na dembele wastep up.Neymar ana kichaa, Coutinho hawezi kukubali kwenda PSG...na Barca hawawezi kukubali hiyo proposal ya kijinga!
Neymar nae kashaushindwa mpiraSemedo tutamkosa kwenye game na chelsea.
PSG wamechanganyikiwa eti wanataka tubadilishane Coutinho na Mbape kisa Neymar hamtaki Mbape anamtaka Coutinho.
Neymar alijua pengo lake halitazibika sasa anaona moto anaouwasha Coutinho roho inamuuma ndani kwa ndani. Magoli anayofunga Coutinho vile anavozungushaga mpira akiwa nje ya kumi na nane, Neymar ata acheze uchi wa mnyama hawezi funga mkuu. Barca hatukua na watu wa kupiga mashuti nje ya box lakini sasa tumepata mtu sahihi.Huyu Neymar kwani ana matatizo gani wakuu?
Tatizo la Neymar anataka mafanikio makubwa kwa mda mfupi.Neymar nae kashaushindwa mpira
Unadhani kuna kikosi duniani kinaweza kuwazuia Antonie Griezman, Messi na Ronaldo wakikaa pale mbele?Wakuu hivi ikitokea laliga all stars Vs Epl all stars Nani atakufa hapo
Uzuri kwa upande wa beki wa kulia akiwepo Semedo pananoga ila ata akiwepo Sergi Roberto nae anakiwasha sana. Wote wanashambulia vizuri, Semedo anashambulia sana kupitia kulia uku Roberto anashambulia sana kupitia katikati ya uwanja. Na uwepo na Dembele kulia siku iyo naamini Alonso hawezi kupanda kama alivokua anapanda mbele anavotaka siku ile.habari mbaya kabisa. wale mambwiga ilitakiwa tuwe tunawapelekea moto pande zote. lets hope Roberto na dembele wastep up.
Hahahahahahahahahaha yale magoli ya Coutinho sijui kafundwa na nani, bado naifikieia El Classico ambayo Coutinho atakuwa dimbani.Neymar alijua pengo lake halitazibika sasa anaona moto anaouwasha Coutinho roho inamuuma ndani kwa ndani. Magoli anayofunga Coutinho vile anavozungushaga mpira akiwa nje ya kumi na nane, Neymar ata acheze uchi wa mnyama hawezi funga mkuu. Barca hatukua na watu wa kupiga mashuti nje ya box lakini sasa tumepata mtu sahihi.
Sikutegemea kama kuna watu wanaofatilia mpira wakauliza swali lisilo na maana kwenye Thread tukufu kama hii.Wakuu hivi ikitokea laliga all stars Vs Epl all stars Nani atakufa hapo
E P L all star haiwezi kushindana hata na GironaWakuu hivi ikitokea laliga all stars Vs Epl all stars Nani atakufa hapo
Madorido ni gari la mkaa mkuuEspanyol 1 - Real Madrid 0.
Hii timu kazi ipo.
Hahaaaaaaa the king himself