FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Mechi bado hiyo ukumbuke aliwah kufa kadude pale na ukikumbuka mechi nyingi za mtoano barca kavuka kwa agriget akikutana na chelsea ila chelsea mechi mbili kamuosha bila agriget kwa matokeo ya leo na mwenendo wa chelsea bora kukaaa kimya tu mkuu
Mkuu hii ni uhakika, mimi siamgalii historia kama wewe.
Ukiweza save haya maneno yangu tukutane camp nou.
 





kama yule magician angeruhusiwa kucheza jana tulikuwa tunawapiga pale pale......tazama mnyama kila akiwa anatafuta angle yule mndengereko kante na wenzake walikuwa wanajazana kuziba
 
Wazee leo inatosha tumegawana point we are still invincible
Game ya home Chelsea atalala goli 4 ndio mwanzo wakulichua UEFA mwaka huu
Badala ya kuwa mwekundu utakua mweusi kwa kuto amini kitakacho tokea. Amin nakuambia camp nou unafungika na ubovu huu wangu.
 
Una create one chance ya kufunga kwa dk 90 then unasema utawafunga nyingi nou camp? Nyie mtamiliki mpira ila safari imewadia
 
Una create one chance ya kufunga kwa dk 90 then unasema utawafunga nyingi nou camp? Nyie mtamiliki mpira ila safari imewadia
One chance one goal vp chalsea walocreate hzo chance zaidi ya moja na goli ni moja, sasa hapo ni nani wa kuhofiwa mkuu?
 
One chance one goal vp chalsea walocreate hzo chance zaidi ya moja na goli ni moja, sasa hapo ni nani wa kuhofiwa mkuu?
Kuhusu kumiliki mpira ,Chelsea hata hawezi kuizua arsenal kucheza mpira ndio haizuie barca kucheza mpira ndio maana jana wakati mnamiliki possession sikuona jipya.
Nashangaa mnapojipa moyo mtashinda nyingi wakati kwa kuangalia possession bila kuangalia uwezo wenu wa kucreate goal chances
 
Possesion haitupi kiburi kua ndio silaha ya kuwafunga pale camp nou ila kinachotupa moyo ni kwamba pale camp utahitaji upate goli kwahyo itakulazimu ufunguke na ukishafunguka sasa ndio tutapata mwanya wa kukupiga vizuri.....

Japo ya hilo mkuu kiukweli nina mashaka na ukuta wa barca kama wakishambuliwa sana hawataruhusu magoli kizembe mana jana wamefanya makosa sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…