GUI1
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 4,362
- 5,606
Pamoja mkuuPoa ngoja tuone inakuaje hapa mana takwimu za game mpaka sasa zinatisha sana lolote linaweza kitokea. Furaha yetu ni ushindi mzuri
Pamoja mkuuPoa ngoja tuone inakuaje hapa mana takwimu za game mpaka sasa zinatisha sana lolote linaweza kitokea. Furaha yetu ni ushindi mzuri
Pole sana mkuu ila hakuna jipya zaidi ya mchezaji pinzani kula red cardDuuhh Tanesco nao sasa, wameshafanya mambo yao huki
Yan ilkuwa na kaz ya kubana pum.bu tukazi nzuri japo game hairidhishi. Eibar 0-barca 2. suarez na alba.
Hata huku taa.nesco wamezinguaDuuhh Tanesco nao sasa, wameshafanya mambo yao huki
Yan kuna muda nkawa nadhan labda ndo game plan ya valverde unajuaTeam ina hitaji improvement kiasi hawaja cheza vzr hii match
Mkuu hawa jamaa walitukamia sana, match ijayo na Girona inabidi tukomae sio wa kitotoYan kuna muda nkawa nadhan labda ndo game plan ya valverde unajua
Yani ww acha tu mkuu yani hakuna show..Barca leo tumezingua kinoma![]()
![]()
![]()
Hahah!! game nyingine presha tupu...Yan ilkuwa na kaz ya kubana pum.bu tu
Kocha afanye kitu cha msingi ili game na chelsea tushinde laa sivyo atatutia aibuTeam ina hitaji improvement kiasi hawaja cheza vzr hii match
MkuuHawa Azam kujifanya wanagangaza kwa kiswahili wana tuharibia mpira sana, mm binafsi wana nikera balaa.
Nimeona utofauti baadi ya umeme kukatika na kutumia Modoro
Wanaudhi sana, inabidi kuwaambia tu sasa maana hakuna namna, inatisha Zawadi waliyotuletea kutuonesha kutangaza waacheMkuu
Mi nlshaacha kuangalia mechi azam hususan wakitangaza hawa vila.za wetu
Yan so boring,boring,boring,boring
Wamechoshwa na nini sasa mkuu au majukumu yao ya kitaa?2-0
Another clean sheet inatosha wachezaji leo walikua na kauchovu fulani hivi
Akili za wachezaji zilikuwa kwenye mechi ijayo ya Chelsea...2-0
Another clean sheet inatosha wachezaji leo walikua na kauchovu fulani hivi
Ata kwenye Squad list ajakwepo sababu ni kocha hakumpendekeza awepo yeye na Paco.Hivi Denis Suarez kwann hachezi