ipogolo
JF-Expert Member
- Aug 15, 2011
- 6,280
- 5,987
Alikuwa hajaiva.huu wakati muafaka kakaHivi Coutinho kwanini alichelewa kuja Barcelona? Perfectly fits barca style A to Z
Alikuwa hajaiva.huu wakati muafaka kakaHivi Coutinho kwanini alichelewa kuja Barcelona? Perfectly fits barca style A to Z
Ana control na anapiga penetrating passes kibao naona uwanja ulikua unatapika
Duh!Coutinho...ameingia dakika ya 20' tarehe 26-01-2018 saa sita na dakika 59 usiku
Tunaweka records sawa
Inaonekana jamaa walikaza sana eh, maana goli mbil zilivopatikana mapema nikajua kuna mvuaGame over Barcelona 2-0 Espanyol
Jamaaa wagumu....kweli hii ni derby
Tumeshaingia nusu fainali mwaka wa treble huu
Ha ha ha wapi kaka Penaldo
Hahah!! Noma sana kiongozi ila tumekusooomaaaHuyu refa naona katupa kadi za magumashi. Hasa ya Messi na Paulinho. Wamemkosoa kidogo katoa kadi, utafikiri Rais wa nchi fulani.
Phillipe Coutinho CorreiaCoutinho noma
Kwa Mpira ule soon tu atazizika record za mchezea mpira gauchoPhillipe Coutinho Correia
Halafu kama niliota Coutinho atachezeshwa left quadrant kule
Nimemsikia kocha anamzungumzia kama ana self-confidence kubwa
Kwa Mpira ule soon tu atazizika record za mchezea mpira gaucho
Poa mke wanguBado hujafika tu Psg kwenye page yenu? Baba watoto wako neymoney anakusuburi kwa hamu sana
kuna muda kijana alikuwa akishika mpira nahis messii alikuwa akitabasamu sana ndani ya moyo wake akisema sasa nimepata kijana wa kupeana nae majukumu ngoja nianze kuvizia kama mmorocco nifunge goli 90 kwa msimu maana yule mjanja alikuwa anacheza kimagumashi tu....
Valencia mwepesi kama pambaBarca to face Valencia on Semifinal the first leg will be played next week at Camp Nou
hao pundits wanazingua gaucho ilifaa ndo awe mwanasoka bora wa miaka yoteMimi naomba kuuliza inakuwaje huyu Gacho hatajwi in the same breath as Messi,Ronaldo,Maradona and Pele AU football pundits wana overlook??
Angekuwa mwanasoka bora wa muda wote ingekuwa ni kichekesho huwezi kuwa na mwanasoccer bora ambaye ukimbiwa umlinganisha na neymar kwa goals kuanzia Barca,PSG,na Brazil kote kapitwa mbali na neymar hata kwa enterteiment football neymar yupo vizuri tu na kwa statistics gaucho hamugusi neymar,Cr7 ,Na Messi sasa uchezaji wake bora ungekuwa na mantiki gani?hao pundits wanazingua gaucho ilifaa ndo awe mwanasoka bora wa miaka yote
Ndiyo mwanasoka pekee mwenye tuzo 6 katika sokaAngekuwa mwanasoka bora wa muda wote ingekuwa ni kichekesho huwezi kuwa na mwanasoccer bora ambaye ukimbiwa umlinganisha na neymar kwa goals kuanzia Barca,PSG,na Brazil kote kapitwa mbali na neymar hata kwa enterteiment football neymar yupo vizuri tu na kwa statistics gaucho hamugusi neymar,Cr7 ,Na Messi sasa uchezaji wake bora ungekuwa na mantiki gani?
Chunguza usiwe brainwashed na media zinazo mu ovvarrate gaucho .
Gaucho hana record yeyote aliyoiacha katika soccer lakini messi na Cr7 wana record ambazo zitachukua mda mrefu kufutika shituka toka gizani mkuu.
Nani anatuzo 6 na za nini embu ziandike hapa maana kama ballon d or messi 5 gaucho 2 hatujaweka na mchezaji bora UEFA messi anazo kama uchafuNdiyo mwanasoka pekee mwenye tuzo 6 katika soka