Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,014
Wakirudisha nitag mzee mm presha imenizidiaChallenge accepted wametufunga
Wakirudisha nitag mzee mm presha imenizidiaChallenge accepted wametufunga
Binafisi naona anazingua. Hafunguki kwenda mbele zaidi kupitia upande wa kushoto. Pasi nyingi anaingiza ndani. Ananifanya hadi nimkumbuke J.AlbaHa ha kuna kitu hatujaona kwa mtoto wa kifaransa Lucas Digne anataka kukionyesha leo in short hua namuaminia na niko comfortable nae
Its true ila jamaa wametukaba katikati kuna watu wengi wasiohamaBinafisi naona anazingua. Hafunguki kwenda mbele zaidi kupitia upande wa kushoto. Pasi nyingi anaingiza ndani. Ananifanya hadi nimkumbuke J.Alba
Hawa madogo wanajaa sana pale kati, mbinu ilikuwa kupitisha mipira pembeni, J. Alba anaiweza vizuri sana hiyo kazi...Its true ila jamaa wametukaba katikati kuna watu wengi wasiohama
Ni kweli MkuuHi line up na formation siyo ya ushindi kabisa. Press haiko organized, inavunjika kirahisi. Ila liver Coutinho walimtuuzia cheap sana.
Winger zenye kasi au za kukodi lazima zitumikeHawa madogo wanajaa sana kiti, mbinu ilikuwa kupitisha mipira pembeni, J. Alba anaiweza vizuri sana hiyo kazi...
Kabisa. But kipindi cha pili tutawapiga tu.Winger zenye kasi au za kukodi lazima zitumike
Jordi Alba ni match yake hii
Watakaa nyingi tena watapoteana utapigwa mpira hadi vichwa vyao vianze kuhisi diznessKabisa. But kipindi cha pili tutawapiga tu.