A man with no name
JF-Expert Member
- May 7, 2017
- 1,131
- 1,598
Angalia post za nyuma utaonaNani anatuzo 6 na za nini embu ziandike hapa maana kama ballon d or messi 5 gaucho 2 hatujaweka na mchezaji bora UEFA messi anazo kama uchafu
Angalia post za nyuma utaonaNani anatuzo 6 na za nini embu ziandike hapa maana kama ballon d or messi 5 gaucho 2 hatujaweka na mchezaji bora UEFA messi anazo kama uchafu
Anakuja ila atakua loaned uko uko Gremio mpka summer ndyo atajoin na team ya ushindiUshauri mwenzetu (jackline1) uliyepo Spain. Waambie Arthur aje kama mbadala wa Gomez...![]()
Mimi sina ushauri,simjui Arthur sababu I only watch Barcelona fc games hawa wengine uwasoma kwenye social mediaUshauri mwenzetu (jackline1) uliyepo Spain. Waambie Arthur aje kama mbadala wa Gomez...![]()
Safi hiyo Mkuu...Anakuja ila atakua loaned uko uko Gremio mpka summer ndyo atajoin na team ya ushindi
OK but inasemekana yuko poaMimi sina ushauri,simjui Arthur sababu I only watch Barcelona fc games hawa wengine uwasoma kwenye social media
Ndo zake huyo, full kuvizia vizia tu au kuogelea ndani ya penati box. Kesho tunazijibu hizo mapema sana. Ukizingatia PC14 ataanza, Naona atacheka na nyavu kesho.Kwajirani zetu kule naona jamaa anatafuta kuondoka na mpira kwa penalts tu
Mess akipiga nae ata mbil itakua poa sana ila zisiwe za penalt kana mwanaNdo zake huyo, full kuvizia vizia tu au kuogelea ndani ya penati box. Kesho tunazijibu hizo mapema sana. Ukizingatia PC14 ataanza, Naona atacheka na nyavu kesho.
Mi ronaldo ndo nnaposhangaa wanapompa tuzo za mchezaj boraMess akipiga nae ata mbil itakua poa sana ila zisiwe za penalt kana mwana
CR7 Kaisha sana wanangu jamaa sio yule tena wa enzi zile, nashangaa sijui kwann kwenye list ya wachezaj bora bado wanamuweka hadi leoMi ronaldo ndo nnaposhangaa wanapompa tuzo za mchezaj bora
Nadhan wangeishia tu kwny mfungaj bora labda
Anaweza akaondoka na mpira kesho. "Mark ya my words" Mkuu.Mess akipiga nae ata mbil itakua poa sana ila zisiwe za penalt kana mwana
Ngoja nihifadhi huu mtazamo wako ili kesho ikitokea kweli nije nikupe hekoAnaweza akaondoka na mpira kesho. "Mark ya my words" Mkuu.
aka fake ronaldoPenaldo bana![]()
![]()
![]()
![]()
Dah....zote katia kambani kwa kutumia tutaNdo zake huyo, full kuvizia vizia tu au kuogelea ndani ya penati box. Kesho tunazijibu hizo mapema sana. Ukizingatia PC14 ataanza, Naona atacheka na nyavu kesho.
Marcelo nae yupo fit sana ata hashtuki