Kikos bomba hicho, leo wayakula nyingi sana
Naona Cotinho kaaza kuaminiwaKikos bomba hicho, leo wayakula nyingi sana
Formation ya leo ni 4:1:2:1:2. Naona Velverde kaamua anataka ubingwa mapema- The entire country is buzzing
Hatari sana ngoja tuone wanafanya nnFormation ya leo ni 4:1:2:1:2. Naona Velverde kaamua anataka ubingwa mapema- The entire country is buzzing
Unpredictability ndio sifa ya VelverdeFormation ya leo ni 4:1:2:1:2. Naona Velverde kaamua anataka ubingwa mapema- The entire country is buzzing
Usimu underrate umtiti kihivyo uliza duniani siyo spainHivi Spain kuna central defender mzuri kushinda Umtiti?naomba mumtaje
Haoni aibu penalty anashangilia hvyoView attachment 686606
Penaldo akiwa anashangilia penalty ha ha ha baada ya ukame wakutosha refa akamsaidia jana