FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

aisee nyie watu manaobishana hapo juu anaebisha kwamba ronaldinho hakuwa gwiji la soka mbora pengine kuliko wote duniani **** anina zake yeye ni pimbi hajui soka
Mkuu
Kuna kitu ukitilia maanan utakigundua ktk mabishano haya

For instance huwez kusema ronaldinho si gwiji
Ila unapovuka mpaka na kumlinganisha na "the alien"

Aaaaaaah
Kaka utapotea kwa miluz ya watu humu
 
aisee mkuu mshabiki wa soka akikuambia gaucho alikuwa pia ''the allien'' usimbishie yuko sahihi 200%
 
Ha ha ha ha
Kama n "the allien" sawa
Ila kama n "the alien" yupo mwnyw ambae anajulikana

N nlipata kusema gaucho alkuwa fund wa kuchezea mpira uswaz twasema madoido

Subir neymar labda baadae huko ndo unaweza kumfananisha na gaucho ila sio kiumbe hiki cha sasa tukijuacho mkuu
 
nishakuambia huyo messi wako mwalimu wake gaucho

vile vitu vya ziada unavyoviona kwa messi ni copy and paste toka kwa gaucho
niamini mimi
 
Aaaaaaaaaaaah
Copy and paste tena??????
Mkuu nna mashaka na ww juu ya uelewa wako juu ya historia ya messi

kwanza gaucho kaitoa barca kutoka shimoni na ndie aliepa taji kwa mara ya kwanza toka enzi za magwiji kina johan cruyf, gaucho kaja barca akiwa jeshi la mtu mmoja akiwafunika kina magalacha wa madrid zidane ronaldo ( naamini hapa unaelewa nawazungumzia watu wa aina gani? sio huyu bishoo panado wa sasa) ila messi anabebwa kwa vile kwa sasa barca tayari ni complete team na unaweza ukaona jinsi anavyohangaika akiwa argentina

mie hapa nilipo nimelewa lakini nawashinda kwa ufahamu
shame on you na hao wenzako waimba taarab
 
Both Messi and Gaucho are our loved legends but comparing an alien who descended in Argentina and came in Barcelona with one great worldly talented Brazilian is an abomination before God's eyes. Let's agree to disagree Gaucho was awesome but Messi is incomparable in this life and in the life after next life.
 
Mimi naomba kuuliza inakuwaje huyu Gacho hatajwi in the same breath as Messi,Ronaldo,Maradona and Pele AU football pundits wana overlook??
 
kwanza gaucho kaitoa barca kutoka shimoni na ndie aliepa taji kwa mara ya kwanza toka enzi za magwiji kina johan cruyf, gaucho kaja barca akiwa jeshi la mtu mmoja akiwafunika kina magalacha wa madrid zidane ronaldo ( naamini hapa unaelewa nawazungumzia watu wa aina gani? sio huyu bishoo panado wa sasa) ila messi anabebwa kwa vile kwa sasa barca tayari ni complete team na unaweza ukaona jinsi anavyohangaika akiwa argentina

mie hapa nilipo nimelewa lakini nawashinda kwa ufahamu
shame on you na hao wenzako waimba taarab

Individual brilliance za jamaa, unasema anabebwa!!

Ndio maana kukawa na wachezaji 11 uwanjani!

Hata huko Argentina kaisahidia sana tu kwa uwezo wake.
 
Both Messi and Gaucho are our loved legends but comparing an alien who descended in Argentina and came in Barcelona with one great worldly talented Brazilian is an abomination before God's eyes. Let's agree to disagree Gaucho was awesome but Messi is incomparable in this life and in the life after next life.

Agiza juice ya muwa nakuja kulipa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom